Mfanyakazi wa kuuza chipsi anahitajika

una sehem ya kumuweka jiran na ofc au awe ana toka kwao/kwake???
 
Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
umesema ukweli
 
Kweli mkuu mpaka wanaboa too bad
 
Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
Mbona twapenda lawama hivi sisi waswahili, sasa hizi si ndo faida zenyewe za Internet, wewe ukiona haikuhusu pita tu.
 
Nilikuwa namjibu yule ambae anaeleta dharau ktk huu uzi ambao muanzilishi anaomba msaada wa kutafuta mtu wa kazi, halafu wengine wanajibu kwa kuleta utoto ktk jambo muhim km hilo linalo husu utafutaji.
Angalia mtu anavyo jibu ktk kuchangia, unamchukuliaje mpuuzi km huyu:-

"NIPO TAYARI mashariti uniajir, unikatie bima, mimi na mke wangu, bibni yangu na mbwa wangu!"
 
Nina rafiki yangu anataka sana kazi ya chips ila amerudi kwao dodoma... kama una sehemu ya kumuweka nimuite aje
 
Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.

Usipende kukariri eti Facebook inatumiwa na vitoto, Facebook inatumiwa na watu wa rika zote! Kuna watu wazima humu wana hekima na busara zao, lakini wameijua Jamiiforums kupitia Facebook.
 
Wenye hekima zao wote, wanaitumia facebook kwa ajili ya connection tu na watu wengine, lakin ukifuatilia yanayo endelea facebook ni utoto mtupu, ndio maana nikapiga mfano huo, lengo ilikuwa kumkosoa ndugu aliyeleta utoto ktk mada inayohusu utafutaji wa maisha.
Sasa upuuzi wa mjibu hoja ndio ulionipelekea kumjibu hivyo, na wapuuzi wa aina ile hawakuwepo hapa jamii sasa hivi wameingia humu kwa kasi na kusumbua watu ktk forum hii muhim, ambapo humu kuna watu wanaendesha maisha kupitia humu.
 
Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
Mkuu tatizo wewe kila kitu unachukulia serious. Sasa hao watoto si ndio watu wazima wa baadae.
 
Back
Top Bottom