tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 781
Maendeleo huja na mambo leo na katka ulimwengu wa ubepari kila kinachoweza kugusa hisia za wanadam na kuingiza fedha hutafsiriwa kama ni biashara hata kama ni kinyume na mapenzi ya Mungu,so El Nino hana tatzo ila tatzo ni muda au wakati as long as anaishi kwenye kpnd cha ubepar anapaswa ku- behave kama ubepari unavyotaka.Miaka michache mbele wanawake watakuwa wanajifungua live ( hadharani mbele za wa2) na watu watakuwa wanaingia ukumbini kwa viingilio ili kuona wanawake wanavyozaa na hyo utakuwa biashara,ni issue ya muda tu tutashuhudia mengi sana