Elections 2010 Meya wa manispaa ya Arusha ashindwa vibaya na CHADEMA

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
583
287
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Figure nitawapatia baadaye kidogo
 
Good job mpendwa good job, kwa pamoja tutashinda. TUZIDI KUOMBA MUNGU MAMBO YAENDE KAMA WAPGA KURA WANAVYOTAKA.
 
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Figure nitawapatia baadaye kidogo
Safi sana na hongereni wachaguzi wa Kimandolu.
 
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Figure nitawapatia baadaye kidogo

Kazi nzuri baba. Work on them please tupate hizo figures mapema.
Afu tuone NEC watatuibiaje!!?
 
hicho ni kipigo namba 1 hicho. Mungu wa Israel, mungu wa yacobo na wa isaka ndiye mungu wetu...ataiokoa nchi yetu na mafisadi. mwendo huo huo, hadi taifa likombolewe...
 
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Figure nitawapatia baadaye kidogo

asantesana kwa habari hii tamu,tunasubiri figure
 
Tunashukuru habari za huko arusha... hadi sasa ni kata moja tu bado ...lakini zote ..Ni peoples power!!

Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Figure nitawapatia baadaye kidogo

Twasikia yeye na familia yake ni matapeli live esp mwanae anae jiita Hedi(Lenadi) sasa imekula kwao Kijana atakimbilia wapi sasa baba ndio chali jamani nakukumbuka sana arusha na mambo yao
 
Infact Hedi alijisahau na baada ya kupata u-Meya alio mke wapili na kujenga ghorofa na watu wakaamua wamsubiri kwenye poll box. Ukweli ni kwamba hata kura za Maoni alishindwa na wakamrejesha kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi. Wamelikoroga na wamelinywa wenyewe.
 
Yeye na mwanae wanapenda kuoa oa hovyo twasikia
 
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.

Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.

Wawe watulivu mpaka wapate matokeo yote ama sivyo inaweza leta chakachua kwa kupoteza focus
 
Back
Top Bottom