Meya masaburi aomba apewe muda kidogo!kuna kibuku,ddc ufisadi

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
baada ya kufichua uozo wa UDA,Meya wa jiji dar masaburi ameomba apewe muda kidogo ili afichue zaidi ufisadi mwingine ktk mashirika ya jiji kama DDC,KIBUKU etc!source ch10
 
Hahahahaha duh
Haya kila wiki ina kwenda kwa scene mpya ,matukio mapya director wa movie zote ni yule yule CCM. adhira ni watanzana. Maudhui ya movie ni UFISADI. Tanzania tumejaliwa wasanii. investor wa Hollywod wako wapi waje wachote vipaji hivi

Next week sijui tutaletwa scene gani na nani watakuwa washiriki
 
Back
Top Bottom