Meya feki wa arusha aomba ulinzi wa polisi nyumbani kwake.

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
Ndugu wanaJF

baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja badala ya siku 21,

kauli hiyo imeanza kumtafuna meya huyo mara baada ya jana na juzi kushambuliwa na mawe na zomea zomea kila mahala apitapo na kauli zingine zikiendelea kusikika watu wa ARUSHA wakisema ya kuwa jengo la halimashauri vyumba vyake vitabaki magofu ya jengo hilo.

tumeamua sasa, walitupiga sana wakauua ndugu zetu wakawapa vile rafiki zetu sasa ni saa ya ukombozi wa kweli lazima meya atoke bila kupenda, nahuyo dogo anachonga kikwere kwere mwabieni aje arachuga aongee hayoo maneno.

tutahakikisha haturudi nyumbani tukirudi meya aweametoka lasivyo ni bora turudi tukiwa mauti tutaikomboa arusha, tunaitaka serikali iongeze askari hawa hawatoshi niwadogomno . NI HERI YA VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU
 
mkuu ukombozi huko malangoni, ninafurahi kusikia kila mtanzania anaweza kujitetea mwenye, huyo meya wa arusha ana roho mbaya kwa nini cheo anachong'ang'anai kighalimu watu maisha na familia yake kuiweka hatarini? au ndio kufa kisabuni
 
Ooosh!
This situation is a bit alarming.
Is it Money or Powers that blinds this man, failing to see the dangers surrounding his life?..
Niwajuavyo Waarusha hawamalizagi hasira, watakuja kumbana pahala ambapo atakuwa hana pa kukimbilia...na itakuwa MAJUTO NI MJUKUU.,
I wish he knew what i think of him.
 
ashaloose confidence yaani mtu mwizi always huwa anaweweseka na hapo anazidi kutengeneza chuki na kuthibitisha ukweli kwamba alicheza rafu kwenye uchaguzi!
Ooosh!
This situation is a bit alarming.
Is it Money or Powers that blinds this man, failing to see the dangers surrounding his life?..
Niwajuavyo Waarusha hawamalizagi hasira, watakuja kumbana pahala ambapo atakuwa hana pa kukimbilia...na itakuwa MAJUTO NI MJUKUU.,
I wish he knew what i think of him.
 
Aisee machalii wa A town ni noma watampoteza.
nadhani nafsi yake inamsuta ila analazimishwa na vigogo wa chichiem na akiachia nafasi kwa kusema uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki ataihaibisha serikali na chichiem
 
Vipi, polisi wameridhia kumlinda yeye na mali zake! Kwani wao ni walinzi wa raia na mali zao; sijui hili ombi la Meya limetekelezwa au taarifa ya ki-intelejensia haijadhihirisha anachokisema Meya.
Natumai Meya anauishi ule msemo wa ccm usemao - chama kwanza mtu baadaye. Hivyo shuruti asimamie msimamo wa chama kwa gharama za wana Arusha pamoja na familia yake. Tumbo bwana, halina masihala
 
Chongeni kwa sana tu mkimaliza kalaleni

tukisha rudisha heshima, na maamuzi ya wananchi yakaheshimiwa na watawala tutaenda lala mkuu, vinginevyo mtaiona arachuga chungu sana, tupo nzega tunarudi arusha sikilizia mapigo yake
 
Ndugu wanaJF

baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja badala ya siku 21,

kauli hiyo imeanza kumtafuna meya huyo mara baada ya jana na juzi kushambuliwa na mawe na zomea zomea kila mahala apitapo na kauli zingine zikiendelea kusikika watu wa ARUSHA wakisema ya kuwa jengo la halimashauri vyumba vyake vitabaki magofu ya jengo hilo.

tumeamua sasa, walitupiga sana wakauua ndugu zetu wakawapa vile rafiki zetu sasa ni saa ya ukombozi wa kweli lazima meya atoke bila kupenda, nahuyo dogo anachonga kikwere kwere mwabieni aje arachuga aongee hayoo maneno.

tutahakikisha haturudi nyumbani tukirudi meya aweametoka lasivyo ni bora turudi tukiwa mauti tutaikomboa arusha, tunaitaka serikali iongeze askari hawa hawatoshi niwadogomno . NI HERI YA VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU
 
wampopotoe mawe na mkurugenzi Estom Chanq/aa ndie aliyelazimisha kumpatia umeya
 
mhh nadhani yanayotokea libya,misri,yemen,tunisia ni fundisho tosha kwa chama hiki cha mafisadi,inabidi haki itendeke Arusha kuepusha machafuko, Huyo Meya kama anajipenda bora aachie ngazi mapema niwajuavo vijana wa Arusha wakiamua kitu hawarudi nyuma hatupendi damu imwagike tena bora asepe mapema.Haki ya watu haiwezi kudhulumiwa milele.
 
Ndugu wanaJF

baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja badala ya siku 21,

kauli hiyo imeanza kumtafuna meya huyo mara baada ya jana na juzi kushambuliwa na mawe na zomea zomea kila mahala apitapo na kauli zingine zikiendelea kusikika watu wa ARUSHA wakisema ya kuwa jengo la halimashauri vyumba vyake vitabaki magofu ya jengo hilo.

tumeamua sasa, walitupiga sana wakauua ndugu zetu wakawapa vile rafiki zetu sasa ni saa ya ukombozi wa kweli lazima meya atoke bila kupenda, nahuyo dogo anachonga kikwere kwere mwabieni aje arachuga aongee hayoo maneno.

tutahakikisha haturudi nyumbani tukirudi meya aweametoka lasivyo ni bora turudi tukiwa mauti tutaikomboa arusha, tunaitaka serikali iongeze askari hawa hawatoshi niwadogomno . NI HERI YA VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU
ninachosema huyo meya atachomwa KISU,nadhan historia inanilinda kwa usemi wangu
 
Back
Top Bottom