Ukitaka kujua nguvu za mlevi mwaga pombe yake!
1.Ukitaka kujua raha ya daladala kusiwe na foleni.
2. ............................
ukiijua tabia ya mkeo lazima kichwa kikuume, mke mchawi halafu jambazi sugu2. Filisika tujue tabia ya mkeo
3. Ukitaka kujua shortcut kula nauli
4. Mtalaka hatongozwi