Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,720
- 155,326
1.Ukitaka kujua raha ya daladala kusiwe na foleni.
2. ............................
2. ............................
2. Michezo ya bata kuku haiwezi
3. Mganga haagizi samaki
Binti Maringo au Penny01 kwa jina la zamani ndio wewe hapo kwenye avatar yako au? LOL! Let us know our in law please manake he's enjoyinghahahaha this is very interesting....miye nachojua methali za kizamni tuu zile za shuleni.....duuh!...
kazi ya ukonda sio kuokota nauli tuukitaka kujua karaha ya daladala kuwepo na foleni
hahahaha this is very interesting....miye nachojua methali za kizamni tuu zile za shuleni.....duuh!...