Masiko W. M.
Member
- Mar 9, 2010
- 41
- 3
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
mkuu inategemea tu kwamba wewe unataka za aina gani.Mimi ninazo za aina mbali mbali.Kama vipi tuwasiliane.Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
Sidhani kama wanatumia metal detectors, inabidi ufanye drilling kuchukua samples za ardhi kisha kuangalia kama kuna madini unayotafuta, hii ni knowledge ya Discovery channel lakini so ongeza na zako.
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
Mkuu upo sahihi sana.kama unataka kufungua mgodi yeah itabidi geologists wacheck eneo pia samples zichukuliwe ili uweze kupata maximum yield. Ila kwa mtu tu individual its okay and mkuu gold ni metal so it can be detected. Kwa mtoa mada, i used to watch alot of discovery and here's what i can remember about this thing, kwanza modern detectors zinauwezo wa kugundua gold size ya punje ya mchanga hadi inchi 1 kwenda chini na gold saiz ya kichwa cha kiberiti about 3-4 inches hivi pia nakumbuka kwenye kuchagua detectors unatakiwa kujua yenye coil kubwa(pana) itagundua gold kwenye wigo mkubwa ila gold ndogo haitakua na uwezo wa kuziona na huku yenye coil ndogo itagundua hadi vile vigold vidogo ila sababu coil ni ndogo inakua haina wigo mkubwa. So unatakiwa uchague una sacrifice nini hapo. Also zile detector za taa sio acceptable maana haziwezi tofautisha na vyuma vingine kama Iron, steel etc. Walikua wanaita hii kitu Nugget hunting
Mkuu tuwasiliane nimekuchek inbox natafta gold detectormkuu inategemea tu kwamba wewe unataka za aina gani.Mimi ninazo za aina mbali mbali.Kama vipi tuwasiliane.