Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Namba hii ya TTCL 0738 488 207 huwa inanitumia ujumbe huu "Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL Kampuni No. 1155 Piga Simu TCRA No. 0782 771 957 ili kujaziwa fomu yako Ahsante!".
Ujumbe huu mara ya mwanzo ulinisitua na kuwa na hamu ya kuongea nae huyo jamaa wa TCRA lakini hakupatikana.
Usiku wa kuamkia leo ujumbe huu umetumwa tena, sijajisumbua kumtafuta ila nimeonelea kuwasilisha JF kwa ushauri zaidi.
 
Huna akili wewe unajaza seva za JF tu

Huna cha kushauriwa subiri tu hapo upate hiyo milioni 7
Hah hah hah! Mkuu nimesituka ndo maana nimewasilisha humu kwenye watu wanaojitambua.
Utakumbuka ujumbe ulosomeka 'Piga cm mimi mwalimu mwanao kaanguka.....'? Hao weshanipiga sh 60,000/=.
 
Namba hii ya TTCL 0738 488 207 huwa inanitumia ujumbe huu "Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL Kampuni No. 1155 Piga Simu TCRA No. 0782 771 957 ili kujaziwa fomu yako Ahsante!".
Ujumbe huu mara ya mwanzo ulinisitua na kuwa na hamu ya kuongea nae huyo jamaa wa TCRA lakini hakupatikana.
Usiku wa kuamkia leo ujumbe huu umetumwa tena, sijajisumbua kumtafuta ila nimeonelea kuwasilisha JF kwa ushauri zaidi.
majuzi walinipigia, nikapokea akataja jina haraka haraka na akasema ni muhudumu wa kampuni ya simu mambo ya pesa......

alivyo sema pesa tu, nikamtia loud speaker na kuanza kumrekodi.......

nikamuuliza tena umesema unaitwa nani na unapiga cm kutoka wap.....

alinipomomoshea tusi la nguvu halafu akakata simu na kutokomea kusiko julikana. hakupatikana tena 🐒
 
majuzi walinipigia, nikapokea akataja jina haraka haraka na akasema ni muhudumu wa kampuni ya simu mambo ya pesa......

alivyo sema pesa tu, nikamtia loud speaker na kuanza kumrekodi.......

nikamuuliza tena umesema unaitwa nani na unapiga cm kutoka wap.....

alinipomomoshea tusi la nguvu halafu akakata simu na kutokomea kusiko julikana. hakupatikana tena
Wengine humu kwa tabia yao ya kuchukulia mambo mzaha mzaha tu hawaoni kuwa kwa nini taasisi ya serikali (TCRA) inahusishwa kwenye huu utapeli!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom