Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

Ahsante kwa Mleta uzi..
Jambo jingine jema ulilofanya umesaidia watu wale wenye ID za Majina bandia kujitambulisha vema kwa namba zao za simu..
Kwenye hizo nakala picha za jumbe kwenye simu natumai

75% hizo ndio namba zao za mawasiliano hivyo wale wa kejeli na matusi ya mitandaoni ni rahisi sana kuwapata sasa.
 
kuna huyo mjinga kanitumia sahz
IMG_20180513_151847.JPG
 
Ahsante kwa Mleta uzi..
Jambo jingine jema ulilofanya umesaidia watu wale wenye ID za Majina bandia kujitambulisha vema kwa namba zao za simu..
Kwenye hizo nakala picha za jumbe kwenye simu natumai

75% hizo ndio namba zao za mawasiliano hivyo wale wa kejeli na matusi ya mitandaoni ni rahisi sana kuwapata sasa.
Tumpe mfano mtu mmoja ulieona namba yake mkuu
 
0764978896-USTADH YAHAYA BINGWA WA KUTAFSLI NDOTO NA NYOTA KUNA MAFTA/MAJI YA KUOSHA NUKS MIKOS KUFUNGUA KIPATO PETE YA MAAJAB MALI/MAGONJWA SUGU KINGA MAJIN MATIZO UZAZI KAZIN MASOMO BIASHARA MAHUSIANO NK/0659564440
 
ILE HELA,ITUME KWENYE NAMBA HII: 0746485597, JINA LITAKUJA (MOHAMED DADI) MAANA ILE LAINI YANGU INA MATATIZO YA M-PESA.HIYO NDIO NAMBA YA WAKALA,FANYA HARAKA
 
0621-790261
0743-475888
0623-421297
0744-490616
0629-882026
0629-709859
0657-856161
0746--400583
0757-136934
0756-906172
0758-703830
0743-149814
0656-971247
 
Back
Top Bottom