The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 562
Mkuu Ontario umejitahidi sana kufikiria na kuwaza wapi tutakuwa baada ya miaka 20-30 ijayo. Umetumia muda mwingi lakini pia umeassemble vizuri maarifa haya na kiukweli umeeleweka vizuri.
Mtazamo wangu nadhani kwa sehemu kubwa ya dunia tupo salama japo athari za mabadiliko haya zinaonekana hata huku kwenye second and third world countries ila siyo sana labda baada ya miaka elfu ijayo. Nitatoa mifano hapa chini:
1. Mpaka sasa watanzania wenye uwezo wa kujenga nyumba bora za kuishi ni wachache. Hivi hizi printed houses wataziweza? Hapa lazima tukubali kuwa Dangote, Kiboko cement na mabati chapa simba wataendelea kutamalaki kwa miaka nyingi inayokuja.
2. Barabara za kwetu bado ni shida na hata bajeti za kuzitengeneza hatuna, hivi hayo magari ya kuchajiwa na barabara za umeme tutayaweka wapi?
3. Huku kwetu unaingia hosipital mganga anakuuliza "unajiskiaje?" alafu anakupa madawa bila hata kukupima. Hizi smart knife tutaziweza?
3. Angalia pale bungeni, angalia serikalini, hivi unaona kiongozi gani mwenye mtazamo wa hata kufikiri kwamba dunia inabadilika? Yaani wote wanawaza kuwakamata wazazi wa watoto walipata mimba, yaani waziri anawaza kwenda kukagua shamba la miwa la jeshi, atafikiri lini kuhusu mambo ya tesla, 3D technologies nk?
4. Vijana wanaotoka vyuo wanalialia hivi kweli wataweza kuumiza vichwa vyao ili na sisi tuadapt hii trend ya mabadiliko?
Hivyo ndo maana binafsi naamini baadhi hayo hasa kwenye AI, Blockchain,na Mobile and internet tech yanawezekana hata kuku kutuathiri kwa kiasi fulani ila haya mengine tuwaachie wao mkuu. Gari la kwanza lilitengenezwa mwaka 1807 lakini mpaka leo 2018 yaani miaka 210 tangu uvumbuvu ufanyike Tanzania hatujawahi hata kujaribu kuunda gari la kwetu. Hali kadhalika nchi zote za ulimwengu wa tatu zipo hivyo.