love love baby
Member
- Jun 16, 2014
- 40
- 3
Napenda zaidi nitumie njia za asili za kuhesabu kalenda ila kuna kipindi nasahau nihesabu vip; naomba msaada wa jinsi ya kuhesabu kalenda ; ila huwa menstrual yangu iko irregular
For irrgular menstrl cycle njia ya asili wnt work!!! Ibalance kwanza