Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Saturday, August 17, 2013

Menoyatembo1Copy.JPG

Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa.

attachment.php

Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.

Jana, Agosti 16, 2013 majira ya saa 10:46 jioni Polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4
 
Attachments

  • VVV.JPG
    VVV.JPG
    140.8 KB · Views: 4,714
Wanaoshukiwa kufanya biashara hiyo ndo wanapewa vyeo ndani ya chama tawala. CCM ikiendelea kuwa madarakani by 2025 kutakuwa hakuna tembo tena Tanzania
 
Mpaka mtandao wa kikwete uje uvunjwe nchi itabako tupu nadhani fedha zao walizomwingiza kwenye uraisi 2005 wanazichukua kwa njia ya kumaliza mali
 
Wanaoshukiwa kufanya biashara hiyo ndo wanapewa vyeo ndani ya chama tawala. CCM ikiendelea kuwa madarakani by 2025 kutakuwa hakuna tembo tena Tanzania

Kwa Ripoti ya Lemebeli kamati ya maliasili na mazingira KIkwete na serikali na CCM yake watawamaliza tembo mnamo mwaka 2017 just be informed
 
Nchi isiyo na SHERIA kwa VIONGOZI... Matatizo kweli wanaona nchi inaendelea? Ina Madini lakini inaongoza wa utekaji wa nyara za serikali na usafirishaji wa UNGA...
 
Huu ni uthibitisho na ushadidi tosha kwamba yale aliyosema kiongozi wa kambi ya upinzani kwamba Tanzania kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo,na mmiliki wake anafamika....
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
 
Hatutaki sura ya kamanda Katto kinachotakiwa kwa sasa ni MAGSHOT ya wale wote wanaokamatwa red-handed kwenye viwanja vya ndege ikiwa ni njia ya name and shame kama alivyoagiza Mh. Mwakyembe even though inakinzana na baadhi ya sheria.
 
... airport security laxity has been in the limelight now for the past few weeks, how credible this incident could it be? I remain sceptical as to why a 'professional smuggler' would be so daring but equally dumb as try and dodgy his way out past at these heightened times.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
Utumbo wa kuku huu. Isinge kuwa Dr Harrison Mwakyembe, tungefahamu hili.
 
You have a point, hata mie nina mshangao.
Mara madawa, mara meno ya tembo within 2/3 days.

... airport security laxity has been in the limelight for the past few weeks now, how credible this incident could it be? I remain sceptical as to why a 'professional smuggler' would be so daring but equally dumb as try and dodgy his way out past at this heightened times.
 
Mhh! hiyo airport hiyo itakua aina walinzi kwa kweli, na ambayo haikukatwa sasa???????
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.

Uhalifu kama HUU sio wa WANANCHI ni LOOP HOLES ambazo serikali na VIONGOZI wake ndio wanaochota na kuvuruga NYARA za SERIKALI kwa Manufaa ya Matumbo yao

Mfano MZUNGU aliyeripotiwa na HOUSE GIRL wake; Ni Kiongozi BANDARINI Dar Es Salaam na hicho cheo hakukipata kwa QUALIFICATION alikipata kwa kujua VIONGOZI wa NCHI HII na chama TAWALA; Akapata cheo ili tu aweze kufuja MALI ZA NCHI HII na ZAWADI ni kuwawekea VIONGOZi PESA NJE YA NCHI

IT IS SICKENING; Toka CCM Ilifute AZIMIO LA ARUSHA na kulibadilisha na lile AZIMIO LA ZANZIBAR; Nchi imekuwa haiwezi kutawalika --- Sasa hakuna nguzo kuu TANO KUU za kuwalinda VIONGOZI wetu

Wako free kufanya UCHAFU wowote nchini; Nchi ina MADINI na GAS lakini kinachoshangaza eti kuna KIWANDA cha KUTENGENEZA MADAWA YA KULEVYA

Vijana wengi wa nchi hii wanawekwa kwenye JELA za NCHI za NJE wakati wa UTAWALA HUU kwanini? Sasa Kuna kijana Mmoja yuko JELA HUKO HONG KONG anajuta kwanini SERIKALI MPYA YA CCM iliamua kuvunja AZIMIO LA ARUSHA; Anajuta kwasababu Vijana walikuwa wanapata KAZI wakati huo; Mashirika ya Serikali yalikuwa yanaajiri vijana wengi Mshahara pamoja na kuwa MDOGO ulikuwa unatosheleza FAMILIA kulikuwa hakuna UNYAMA kama sasa...

FIKIRIA ni kwanini VIJANA wengi wanadiriki kufanya hii biashara ya hatari wakati huu kuliko wakati nchi ilipokuwa na USAWA na Siasa za UJAMAA ambazo ZIMETUPWA chooni na AZIMIO LA ZANZIBAR
 
Wanaoshukiwa kufanya biashara hiyo ndo wanapewa vyeo ndani ya chama tawala. CCM ikiendelea kuwa madarakani by 2025 kutakuwa hakuna tembo tena Tanzania

Na huyo askari aliyekamata aliajiriwa na Serikali ya chadema, au sio?
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.

.....kula koni gugudelO limesaasitA!!!!!
 
Back
Top Bottom