Meneja atupwa jela miaka 250 - Mfano wa Kuigwa

Mnaona pana ujaji hapo ,hilo kosa ni kubwa sana ila jaji kwa kutumia mahesabu yake na kumwambia mteja kuwa ,,,kosa lako unaweza kukaa jela si chini ya miaka 25 ,ila kwa tulivyoelewana nimeipunguza na nitaifanya iwe mitano tu ,na tukitoa siku za mapumziko na sherehe basi inaweza ikafika mitatu ,lakini nitaitangaza mitano haya mapunguzo mengine ni baada ya kufika huko jela ,ila usije ukaanguka ukisikia nimekutangazia miaka 250 jela ,e bwana tuna mipango yetu ya kusaidiana ,hivyo miaka mitano si mingi ni kipindi kimoja tu cha utawala wa Sultani CCM.Na vilevile itasaidia kuficha mambo yetu isionekane tunamambo fulani fulani.
 
Naona huyo wangemwamishia pale kisutu kwenye kitovu cha kesi za mafisadi tuone kama wembe ni huo huo au ni kwa kijijini tu??
 
Kuhus swala la huyo jamaa kuhukumia ni haki yake manake amevuna alichokipanda.Lakni namini JAJI ame-cross the line hukumu haiendakini na kosa lenyewe

To me i was stupid kabisa 250yrs ni kama amemuhukumu adui yake
 
Ndg zangu watanzania chonde chonde muwe mnatafari mambo kwa undani. Huyu jamaa kafungwa miaka yote hiyo hakuwa na pesa za kuonga hakimu na mwendesha mashittaka.Nakupongeza Mzalenndo halisi kwa kuliona hilo.Hafungwi mtu nchii kama unazo fedha bwana huo ndio ukweli wenyewe.
 
huo ni uonevu tu waloiba hawafanywi kitu lakini anae eba kuku basi ndio hivyo vifungo visivyo eleweka dunian miaka 225 umeona wapi mafisadi mbona hawaguswi ni uonevu na ujinga wa kutaka kujipendekeza tu
 
Huyu ndugu angemwomba hakimu arudishe kiasi cha pesa alizoiba labda angesamehewa kama wale wezi wa EPA
 
Back
Top Bottom