Mende wa chooni wangekuwa wanasema, ungeficha wapi sura yako!!!!!!!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Wapo wale wanaoenda chooni kujisaidia na kujamba mithili ya mabomu ya mbagal. Wapo wanaume wanaopiga mabao ya fast chooni na mabaa medi, wapo wanaopiga nyeto vyooni, wapo wanaovuta bangi wakienda chooni, wapo wanaojisaidia haja kubwa kuzidi size ya naniii zao za haja kubwa kisha wanaishia kulia as if wamepigwa, wapo wanaojisaidia haja ndogo as if wanacheza ndombolo ya solo na wale ambao wanapojisaidia haja ndogo wanasogeza tu chupi pembeni huku wakiwa wamechuchumaa na mende wakiangalia movie nzima.

Hebu jiulize, ingekuwa mende wanapiga picha na kuziuza mtaani au wanasimulia hayo yote kwa watu jinsi ulivyokuwa unafanya huko chooni, unadhani ungepata hata nguvu ya kupita mtaani kwa maringo ili hali ukijua kuwa watu wanajua hakp katabia kako?

na log out
 
Uchi hata Nzi anao! ingekuwa ni jambo la kawaida mno kama ulivyozoea wewe kuona wanyama wakibanduana na wala usishughulike nao. Je? Hizo picha watakuwa wanaoneshana mende kwa mende au watawapa binadamu. Hebu wapige picha kuku wakifanya matusi halafu kamuuzie hiyo picha kuku mwengine uone kama utapata hela. Nalog off
 
wewe ndo wangekuwa wa kwanza kukufotoa, afu waje waziweke jf photos.
Ungeona aibu na vituko vako va chooni tungevijua.
 
Sisi vyoo vyetu vya shimo zaidi ya mamende kuna mapanya..... nadhani haya yangechukua vi-clips kabisa
 
Wapo wale wanaoenda chooni kujisaidia na kujamba mithili ya mabomu ya mbagal. Wapo wanaume wanaopiga mabao ya fast chooni na mabaa medi, wapo wanaopiga nyeto vyooni, wapo wanaovuta bangi wakienda chooni, wapo wanaojisaidia haja kubwa kuzidi size ya naniii zao za haja kubwa kisha wanaishia kulia as if wamepigwa, wapo wanaojisaidia haja ndogo as if wanacheza ndombolo ya solo na wale ambao wanapojisaidia haja ndogo wanasogeza tu chupi pembeni huku wakiwa wamechuchumaa na mende wakiangalia movie nzima.

Hebu jiulize, ingekuwa mende wanapiga picha na kuziuza mtaani au wanasimulia hayo yote kwa watu jinsi ulivyokuwa unafanya huko chooni, unadhani ungepata hata nguvu ya kupita mtaani kwa maringo ili hali ukijua kuwa watu wanajua hakp katabia kako?

na log out
Bora hata ulivyo log off,UPUPU!
 
Hii kali !
Itakua anafanya hayo mambo mwenyewe so anatafuta mawazo ya wengine!.
Mambo mengine hua akipiga chabo! Ha ha ha !
 
Wapo wale wanaoenda chooni kujisaidia na kujamba mithili ya mabomu ya mbagal. Wapo wanaume wanaopiga mabao ya fast chooni na mabaa medi, wapo wanaopiga nyeto vyooni, wapo wanaovuta bangi wakienda chooni, wapo wanaojisaidia haja kubwa kuzidi size ya naniii zao za haja kubwa kisha wanaishia kulia as if wamepigwa, wapo wanaojisaidia haja ndogo as if wanacheza ndombolo ya solo na wale ambao wanapojisaidia haja ndogo wanasogeza tu chupi pembeni huku wakiwa wamechuchumaa na mende wakiangalia movie nzima.

Hebu jiulize, ingekuwa mende wanapiga picha na kuziuza mtaani au wanasimulia hayo yote kwa watu jinsi ulivyokuwa unafanya huko chooni, unadhani ungepata hata nguvu ya kupita mtaani kwa maringo ili hali ukijua kuwa watu wanajua hakp katabia kako?

na log out

Ndyoko na bujibuji sijui nyie ndugu?
Yaani huwa mnanichekesha sana
 
nna hamu ya biskuti kweli lakini sio ya chuma
Kweli eeeh!Njoo tu nikupe,nnazo nyingi saana,za chuma zipo,za ngano zipo,za nyama zenye mfano wa soseji kubwa lakini NGUMU pia zipo,unapendelea zipi nikuandalie?
 
Back
Top Bottom