::Memo for The Boss::

Happy day The Boss!
I pray that; since now your Born Again (mara ya ishirini na ngapi vile?), utaziacha njia zote za kwenda kwenye zile nyumba ndogo na kubaki kwenye njia ya nyumba kubwa tu!

Niliikosa party, lkn nimekuandalia supu ya dagaa wabichi, spesho kwa kushusha mning'ining'io!

Happy Birthday Mkulu!
Haujakosa party mpenzi, Party ndio inaanza. We started the preparation as early as 24hrs before, his birthday is on the 19th (leo). Wahi salon then come back quickly!
 
Naona mmeingia kwa pamoja as a couple, this is good. Meza yenu hapa mbele mbele tu. Hivi vijana wa protocol wako wapi? Mbona najikuta nafanya kazi yao? Smile, please get busy and help me find them. Where is Alter???
Happy birthday The Boss... :party:

303325.jpg
 
naona mmeingia kwa pamoja as a couple, this is good. Meza yenu hapa mbele mbele tu. Hivi vijana wa protocol wako wapi? Mbona najikuta nafanya kazi yao? Smile, please get busy and help me find them. Where is alter???
dah niliachwa siku nyingi mwenzio.mdogo wangu canta niliemtoa kijijini kanichukulia mume hivihvi...... Still searching .... Ila si unajua mambo ya party najua leo lazima nitatoka ngoja niupare
 
Nina chupa 15 za Perrier-Jouet Champagne....chupa 20 za Moet & Chandon

Plus I picked up about twenty boxes of lemon raspberry cookies

And I'm thinking of buying a luxury gift basket for every guest. But I need your input on what should be in those baskets. I was thinking maybe some dark chocolate orange peels, Godiva milk chocolate tablet, Godiva dark chocolate covered almonds, Aaron bell crisp seasoned crackers and Saraivanov Caviar.

Lemme know what you think..
These baskets are perfects! but lose the caviar, it is a bit too much. Add a fine scotch for men and a wine for ladies (I trust you on both). Plus some nuts. Mix two or three types of nuts here and the baskets will be perfect. At the entrance all men should be given a white carnation, all women a red rose.:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
dah niliachwa siku nyingi mwenzio.mdogo wangu canta niliemtoa kijijini kanichukulia mume hivihvi...... Still searching .... Ila si unajua mambo ya party najua leo lazima nitatoka ngoja niupare

Kumbe? Poleeeee. Sasa mbona mmeingia kwa pamoja? Usijali nimeona watu wanakuja single single zaidi. Hata Rejao mwenyewe kaja peke yake, sijui Cantalisia kaachwa wapi. lol
 
...dahhhhhh, ilinishtua nikadhani anakaribia kulimwa ban!
Happy birthday king, the boss!
leo anatembelea nyumba ndogo zake zote hapa mjini
sipati picha
ngoja na mimi nichukue fomu anaweza kuniweka
 
Kwa maneno haya, leo nalambwa ban.
Hebu nikubushe anakaa VIP kama nani vile?
Hahahahahaha, sio meza kuu, but ni katika zile meza za karibu, za VIPs. We huoni jina lenyewe ni la VIP? Relax... hata wewe ni mtoto leo. lol.
 
We Kongosho ni Dada yako na mimi ni Kaka yangu....
dah kaazi kweli kweli
Erick, upo security, don't be distracted na wageni. Mwelekeze smiling saint meza yake (anakaa na Smile) na stay focus bwana. Kuna watu hawana dini wanaiba vyupa (wanaficha kwenye hand bags).
Nani kanionea Tanmo? Yeye ndie atapiga picha zote za party na kuzitangaza gazeti letu la Udaku JF. Najua lazima kutakua na ka-scandal ka kukamilisha party.
 
Mie nilimwambia mwanamme huwezi kumzira
Ona mie huyu anavyofuatwa na nyumba ndogo kibao
Lakini si unaona navyojitahidi kumlinda?
Hadi kaanza kutulia kidogo kidogo.

Labda na wewe mfunze Smile , kampoteza Rejao hivi hivi

Kumbe? Poleeeee. Sasa mbona mmeingia kwa pamoja? Usijali nimeona watu wanakuja single single zaidi. Hata Rejao mwenyewe kaja peke yake, sijui Cantalisia kaachwa wapi. lol
 
leo anatembelea nyumba ndogo zake zote hapa mjini
sipati picha
ngoja na mimi nichukue fomu anaweza kuniweka
Thubutu, umeona anavyobehave leo?
Leo anatulia na mie, vijumba vidogo leo wanalo

Hahahahahaha, sio meza kuu, but ni katika zile meza za karibu, za VIPs. We huoni jina lenyewe ni la VIP? Relax... hata wewe ni mtoto leo. lol.

Ndio maana nikaomba mwongozo mapema
( nina kichupa cha tindikali )

nataka nitoke na kongosho nao

Mie leo kigori bana, niacheni nile vyangu.
 
Mie nilimwambia mwanamme huwezi kumzira
Ona mie huyu anavyofuatwa na nyumba ndogo kibao
Lakini si unaona navyojitahidi kumlinda?
Hadi kaanza kutulia kidogo kidogo.

Labda na wewe mfunze Smile , kampoteza Rejao hivi hivi

Mwache Smile, ujana unamdanganya. Atafundishwa na dunia...
Smile dear, kama bado moyo upo we banana na Cantalisia hivo hivo. in a man's life women come and go, but he always has one to run to. Sasa kama ukiamua, that one could be you my dear.
 
Back
Top Bottom