Members imekaaje hii?

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,976
32,276
Members ni mimi tu niki-TAG jina la mtu linakataa ktk kisimu changu,
au na nyie Wenzangu....???
 
Madame B kum-metion mtu una bonyeza shift kisha @ ikifuatiwa na ID ya umtakaye bila kukosea herufi.
 
Last edited by a moderator:
BT nimekuona hapa, nikasema nikukimbilie fasta nikusalie VINGINEVYO SINA HAKIKA KAMA NUSU SAA IJAYO Jf ITAKUWEPO ONLINE ACTIVE! Hata ikipotea tena, iwe nimekusalimia!

mie mzima tu, vipi siku yako inaendaje....nilikumiss sana jana dr judgement....
 
mie mzima tu, vipi siku yako inaendaje....nilikumiss sana jana dr judgement....

Mie nimekumiss twicely!
Nafsi inanikataza kuamini kua Jf watatutenganisha tena!
Incridible quite!
Aidha kuna kakichochoro flani nimekukuta unalalamika kua umekonda na kubakiza few kg's ya kweli hayo ? Wkt wavimbamacho walikuona unakesha fcbk ?
 
Jf si ipo kwenye maintainance jamani!? So inaweza ikawa ndo imechangia
 
jaman kumbe co mie pekeyangu. nshajaribu ku-mention mtu kama hapo awali inagoma lol!!!!!!
 
Back
Top Bottom