Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,716
vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
kisha ajifunze kufuata sheria asije akachafua credibility yake.
vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
Unaweza kunifafanulia zaidi, mtu aliye funja sheria unamsaidia vipi?....nakubaliana na wewe, huyu kavunja sheria! ila hapa panatakiwa msaada kwa maoni yangu wakisheri zaidi.....!
Wandugu,
Nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu YO YO na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha O'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.
Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y Mwenyezi Mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.
Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, YO YO anaweza kunyea SIMTANK na sio NDOO kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana
Big up mkuu!!Wandugu tunakaribia kufinalise dhamana ila jamani police wetu hawa wanaweza kukusinmgizia umeeua, kosa la traffic wanakupiga pingu?
NB: Pdidy Mungu akubariki kwa msaada wako. Wewe hakika umetusaidia
Big up mkuu!!
hii kitu ni mbaya........kwanza ametanua, pili amekimbia.........kukimbia linaweza kutafsirika kama mwizi, alikuwa ana silaha, alikuwa na drugs au alikuwa anataka kuteka polisi.....kama alikimbilia njia ambazo sio.
mi nishakaa ndani whole day....jamaa wa togo hawa (pikipiki) alinisimamisha kwenye mataa, akafungua mlanbo akaingia ndani......nikambishia, sikusimama, nikaondoka nae akiwa na masilaha yake, nikaenda nae kama 5Km hivi. nikasimama nikamwambia achape lapa. weeee!!!......Msala wake usiupimie, nilipata kesi ya kuteka askari mwenye silaha mbili...SMG na Bastola.
Pombe nyingine za kuamka nazo mbaya sana!!!

Wandugu tunakaribia kufinalise dhamana ila jamani police wetu hawa wanaweza kukusinmgizia umeeua, kosa la traffic wanakupiga pingu?
NB: Pdidy Mungu akubariki kwa msaada wako. Wewe hakika umetusaidia
jamani trafic kesi zimebadilika cku hzi hizi habari za kusema unampa 500 yanakwisha cku hizi wakikutaiti kama ivyo alivyotaitiwa yo yo ata laki awapokei utajinunua mwenyewe vzuri wao wanakuchagulia siku 14 au zaidi
Nimeona hapo tu, na nimeshapata sababu. Ahsante sana kiongozi!
Big up mkuu!!
hii kitu ni mbaya........kwanza ametanua, pili amekimbia.........kukimbia linaweza kutafsirika kama mwizi, alikuwa ana silaha, alikuwa na drugs au alikuwa anataka kuteka polisi.....kama alikimbilia njia ambazo sio.
mi nishakaa ndani whole day....jamaa wa togo hawa (pikipiki) alinisimamisha kwenye mataa, akafungua mlanbo akaingia ndani......nikambishia, sikusimama, nikaondoka nae akiwa na masilaha yake, nikaenda nae kama 5Km hivi. nikasimama nikamwambia achape lapa. weeee!!!......Msala wake usiupimie, nilipata kesi ya kuteka askari mwenye silaha mbili...SMG na Bastola.
Pombe nyingine za kuamka nazo mbaya sana!!!
Re: Michubuko baada ya kula chumvi
Imepungua kidogo......nitatesti tena leo nione kama kesho nitakuwa safi
Usipofuata sheria hayo ndio madhara yake,jamani tujitahidi kufuata sheria lasivyo itakuwa kila siku tuko matataniWandugu,