Member mwenzetu YO YO yuko matatani

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Wandugu,

Nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu YO YO na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha O'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.

Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y Mwenyezi Mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.

Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, YO YO anaweza kunyea SIMTANK na sio NDOO kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana
 
wandugu,

nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu yo yo na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha o'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.

Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y mwenyezi mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.

Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, yo yo anaweza kunyea simtank na sio ndoo kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana

vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
 
Wandugu,

Nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu YO YO na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha O'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.

Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y Mwenyezi Mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.

Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, YO YO anaweza kunyea SIMTANK na sio NDOO kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana
Amevunja sheria!
 
sasa ni msaada gani unahitajika? pesa za kutoa rushwa? pesa za dhamana? mwanasheria? chakula? au nini?
 
Hii mbona ya kawaida tuuuu. Kamwekee dhamana halafu awape coins basi . Njaa tu
 
vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
Mkuu, kosa la kutanua faini yake ni 250,000 au 300,000 sina uhakika sana kati ya hizo mbili, au jela 2 weeks na faini juu.
Jamaa wakikufikisha mahakamani tu, unasomewa hukumu, sio mashtaka.............Waulizeni madereva wa daladala wanavyoteseka kwa hii sheria ya kishenzi.

Nguli, check na ndugu wa karibu au mshkaji wa karibu wamuwahi kabla ya kwenda mahakamani. Tafadhali.
 
Tulishamwambia hapa bangi na pombe za kwenye visadolini bila msosi zitampeleka pabaya... ona sasa anaendesha gari utafikiri Kajima walimjengea barabara yeye... anaanza kusumbuana na wanausalama wetu!! Hope atapata mdhamana... mkulu Nguli wahi ukamsaidie huyu ndugu yetu tafadhali... mpe pole zake. Lakini mambo ya kutoa kitu kidogo usithubutu...tusijesikia nawe umesweka ndani kwa mlungula, maana jamaa sikuhizi wana vimobitel vyenye kamera pale.
 
vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.

alfu tano anaposimama akiwakimbia zidisha alfutani kwa kila kilomita mpaka wakufikishe kituoni aisee anaitaji si mssada washeria tu bali maombi ya kumtoa
 
mkuu, kosa la kutanua faini yake ni 250,000 au 300,000 sina uhakika sana kati ya hizo mbili, au jela 2 weeks na faini juu.
Jamaa wakikufikisha mahakamani tu, unasomewa hukumu, sio mashtaka.............waulizeni madereva wa daladala wanavyoteseka kwa hii sheria ya kishenzi.

Nguli, check na ndugu wa karibu au mshkaji wa karibu wamuwahi kabla ya kwenda mahakamani. Tafadhali.

mkuu siku hizi unapelekwa mahakamani kama pambo ukifika wanakupiga wiki mbili mpaka tatu itategemea ulivyowasumbua na watakavyojieleza..then ukitoka unawamalzia lakizao 2na hamsini na majuzi nilikuwa ana jaji mmoja wanataka kuomba sheria za wakitoka wapigwe viboko kumi iwe fundisho duh pole ndugu yangu yoyoyo tuko pamoja kiroho lakini..ngoja nikiingia mtaa niangalie wakusaidiaeje..ujue jf wako kwa ajili ya mapenzi na sehemu za wakubwa akuna ata mmoja anartoa mchango wa msaada weka picha za mabooooooooooooooooooooooooooooozzzziiiiiiiiiiiiiii we wanazirukia kama mswaada wa dowannnnnnnnnnnnnnnnns
 
sasa ni msaada gani unahitajika? Pesa za kutoa rushwa? Pesa za dhamana? Mwanasheria? Chakula? Au nini?

hata maombi mungu amupunguzie akimu hasira yanatosha ,,pesa zako sidhan zinafanyakazi tena kama ashafika ndani..pesa nje kwa nje..tuombe mungu kama documents zake siko safi maana utamwokoa huku kule licence imeisha lo ya shababi tumwombee hivyo hivyo
 
Wahi ukamuwekee dhamana leo ijumaa asije baki huko hadi jmatatu
 
alfu tano anaposimama akiwakimbia zidisha alfutani kwa kila kilomita mpaka wakufikishe kituoni aisee anaitaji si mssada washeria tu bali maombi ya kumtoa

hii kali so elfu 5 + 5*km(approx 20km)= 105,000/= lol
hii mbona siijui
 
Mpe pole kwa yanayomkuta. Mwambie next time awe anafuata vema sheria za barabarani. Mwambie anaishi vizuri kwasababu wananchi wanafuata sheria. Tukiwa tunazivunja kwa sababu ya kupenda fastafasta au shortcut, maisha hayawezi kuwa mazuri kwake na kwa wengine. Hata hivyo, msisitize kwamba "TUNAMPENDA SANA"
 
alfu tano anaposimama akiwakimbia zidisha alfutani kwa kila kilomita mpaka wakufikishe kituoni aisee anaitaji si mssada washeria tu bali maombi ya kumtoa

hahaha wewe! mpe pole jamani, nilidhani ni mkorofi ki JF 2 kumbe hata kwenye maisha halic....pole sana YO YO ni hii weekend kha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom