Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Vilaza ni wengi humu JF. Hivi ulipata div. 0 ya point ngapi?
Membe hana upeo kaongea utumbo tupu ndo maana malawi wanatudharau...
Vilaza ni wengi humu JF. Hivi ulipata div. 0 ya point ngapi?
Ninakereka ninapokutana na midiv. 0 kama. Hivi ulijuaje kupost kwenye jf bila kupitia shule?
Ushahidi unaolingana na mlima Kilimanjaro ndo ukoje? Umepimwaje ukajulikana unalingana na Kilimanjaro? Kwa mita?
Waachie washairi ushairi Membe, stick to the script.
Kwa wanaojua diplomasia katika situation kama hii kuna kanuni ya clarity. Imekiukwa. Clarity inatakiwa kuchukua precedent over flowerly language.
Metaphor ni kwa malenga na watribu. Diplomasia katika kipindi kama hiki inatakiwa kufanyika kwa lugha clear isiyoacha mwanya wa majibizano.
Hapa Membe akikutana na Waziri mwingine mpuuzi huko anaweza kusema "na sisi tuna ushahidi mrefu kupita mlima Evarist" tayari mnaingia katia a silly war of words, which could easily lead to a real war.
Sobriety should prevail. "Tuna ushahidi wa kutosha" was sufficient, no need to hype an already inflammable situation with further pyrotechnics.
the problem is not Membe,you are the problem for failing to understand his statement
membe ni mmoja kati ya mawaziri wenye tamaa na kutafuta madaraka kwa visasi