Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,248
- 6,378
Ushahidi unaolingana na mlima Kilimanjaro ndo ukoje? Umepimwaje ukajulikana unalingana na Kilimanjaro? Kwa mita?
Waachie washairi ushairi Membe, stick to the script.
Kiranga, kuwa uyaona. Mheshimiwa anatumia metaphor kwa kueleimisha, mbona kaeleweka vizuri tu? Kwani wewe kwa upeo wako wa elimu unataka kuniambia hujaelewa ana maana gani, au unataka kubisha tu? Jamani tusiwe wapuuzi kuhivi.
Last edited by a moderator: