Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Anne Kilango (MP) alishawahi kuonya kuwa wakubwa wakome kuandika vimemo vya kupiga mikwara wabunge wanaposema ukweli ambao hauipendezi Serikali.
Membe yamemkuta hayo vimemo na anaamua kujitetea kwa mkubwa wake.
 
hakuna jipya hapo nilijua tu yatakuwa hayo hayo hata humu jf walijua mapema nashangaa wanaoshabikia!serikali inayumbayumba tu,tatizo uwaziri mkuu,mzee wa nafikiri naona hana jipya,serikali moja kauli tofauti!!na kinachofuata ni kufungia hayo magazeti,sijapata kuona watu wa ajabu kama viongozi wa watanzania
 
Labda kwa vile aliongea kizungu hakumbuki.......narejesha

Membe: Police killings were wrong Tuesday, 11 January 2011 22:26

By Rosemary Mirondo
The Citizen Correspondent

Dar es salaam. The minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, conceded yesterday that the Police in Arusha had acted against their code of conduct when they used excessive force to stop a demonstration by supporters of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) in Arusha last Wednesday.

At least three people, including a Kenyan, were killed when police used live ammunition to disperse Chadema supporters who were protesting the election of a CCM candidate to the Arusha mayoral seat.

Mr Membe said this when briefing reporters after his meeting with members of the diplomatic corps.
"The Police Force was supposed to use reasonable force when dealing with civilians in order to ensure that it preserves peace and security," he said in what he termed as personal views on the Arusha incident in which more than 40 people, including top Chadema leaders, were injured.

He said the Arusha incident has tarnished Tanzania's image abroad and it would take some time for the government to clean the image.

"During the meeting with ambassadors, they had pressed me to give the government's stand over the killings... I told them that the government statement would be issued within this week that it was dismayed by the killings," he said.
He described the deaths as affecting the nation because those who were killed were Tanzanians.
"I offer my condolences to the families which lost their loved ones. I also pray for quick recovery for those who have been injured," he said.

He said the recent Arusha killings were among issues which were extensively debated when he met with the ambassadors at Karimjee Hall.
The diplomats suggested that the Police personnel should be trained on how to handle such incidents so as to avoid casualties in the future, advise which the government was going to work on, he said.
Other reports from the meeting said the envoys blamed the Police for using excessive force when dealing with unarmed demonstrators.

Meanwhile, Prime Minister Mizengo Pinda has said there is a need for strengthening of joint committees between Tanzania and development partners to enable the administration of different activities touching on economic activities, education, culture and trade.

The Premier made the call yesterday in Dar es Salaam during his meeting with Mozambique ambassador to Tanzania, Mr Zacarias Amour Kupela, in his office.

In their meeting the two discussed a wide range of issues that included agriculture, fishery, livestock keeping as well as the growing incidents of piracy in the Indian Ocean.

Mr Kupela told the Premier about a Mozambican vessel that was hijacked by pirates in December 27, last year. Mr Kupela said the vessel which has since been seen in Somali waters contained 24 people, 19 of which were Mozambican, three were Indonesian and one from Spain
 
Anajikosha tu huyu hana lolote, Bosi wake kamjia juu
Tutasikia mengi mwaka huu, Baado Mzee mzima wa Kilonywa Malecela anaweza ibuka akisema hakusema Maasikofu waombwe radhi na CCM, Akifuatia Na Mwakyembe na Msuya wakikana Kuhoji uhalali wa Kuilipa dowans. Baada ya taarifa ya Chagonja ya Jana kufanana na ile aliyoitoa JK kufunga mwaka, Nikahisi kunawatu wataanza kukamatwa mashati. Membe kabanwa na hii kesi haindi popote, anazuga tu asionekane aliwahukumu polisi wa JK.
 
By Globu ya Jamii Reporter

Following is a letter to the Managing Editor of Mwanannchi Newspaper, reporter Hussein Issa and Managing Director availed to this blog today shortly after the advocate of
Hon. Bernard K. Membe (MP) Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Joseph Tadayo, talked to the press at the Patel Building in Dar es salaam. It is understood that a similar letter has been sent to Tanzania Daima allegedly for same reasons

RE: DEFAMATORY PUBLICATION AGAINST OUR CLIENT HON. BERNARD MEMBE (MP); MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION.

0.0 Kindly refer to the heading above.

1.0 We are advocates for Hon. Bernard Membe, who has availed us of the information and instruction in relation to the subject in caption.
We have noted that, in your issue No. 03853, ISSN 0856-7573 published on Wednesday the 12th of January, 2011, on the front page you elegantly published an article titled Membe: Polisi walikiuka maadili mauaji Arusha. (Mabalozi waibana serikali, wahoji Polisi kutumia risasi za moto). In the said article, you boldly alleged that our client blamed the Police Force for mishandling the demonstrations carried out by CHADEMA members and followers in Arusha, thus causing deaths of three people and 20 others left injured. You further alleged that, members of Diplomatic corps whom our client was addressing, condemned the Police Force's of Tanzania and demanded a statement from the government. The relevant parts of the publication states as follows:

[COLOR=#000066[COLOR=red]]"Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Jeshi la Polisi lilikiuka maadili ya kazi yao lilipokuwa likikabiliana na raia waliokuwa wakiandamana kupinga suala la uteuzi wa Meya wa Arusha…. Jeshi la Polisi linatakiwa kufanya kazi kwa mipaka ili kuhakikisha kuwa linadumisha amani nchini, alisema Membe, akieleza kuwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na tukio hilo linaloelekea kuiweka doa Tanzania ambayo inajulikana kuwa ni kisiwa cha amani….Membe alisema kuwa Mabalozi wa Nchi mbalimbali hapa nchini walimbana wakitaka serikali iweke wazi suala la mauaji hayo ili dunia ifahamu ukweli badala ya tetesi…. Nimewajibu kwamba ndani ya wiki hii serikali itatoa tamko kwa kuwa nayo haijafurahia mauaji hayo, alisema Membe"[/COLOR].[/COLOR]

2.0 Our client totally denies to have uttered any of the above statements neither in content nor context. The truth of the matter is that, our client had convened a normal briefing session with all Ambassadors representing their countries in Tanzania and addressed them on several important international issues. Our client states that no Ambassador or any member or attendee in the said session asked, inquired or raised any concern whatsoever about the alleged Arusha issue. Instead, it was our client, who out of courtesy, at the end of the session remarked that he was personally sorry about the deaths in Arusha and urged the members to be patient and wait for the official government statement on the issue. Our client repeated the same statement when addressing the press at Karimjee grounds after the said session.

3.0 The statement published by you was, therefore, published carelessly and without any scintilla of truth, and in fact, without any efforts of finding the truth because both sessions, namely, one with the Ambassadors and the other one with the press are fully recorded and none of them contains any of what has been published by you. Our client takes this not only as carelessly published but also maliciously published because the truth was there but you opted to deliberately leave it and fabricated lies.

4.0 The contents of your publication in their very plain meaning tells the public and international community that our client, both as a person and as a government minister, has no confidence with the Police Force and the entire government machinery entrusted with peace and security of the country and also that as a minister responsible for foreign affairs he failed his duty to address the government position on the Arusha issue to the international community until compelled by the Ambassadors. Due to your publication, our client's good working relations with the Police Force and his reputation in the government and members of diplomatic corps has been seriously injured. As a result of your publication, our client's reputation has been harmed, and lowered, and you have exposed him to hatred, contempt and ridicule in the eyes of the right thinking members of the society.

5.0 In view of the foregoing, we, Trustmark Attorneys, a law firm duly registered and practicing in Tanzania, upon written instructions from our said client do hereby make formal demand upon you, that you should formally make a written apology on the front page of your next publication, using the same font size in the leading story, unequivocally and without any ambiguity whatsoever, retracting the said misleading story with sufficient details, that our client neither said any of what was written in your publication nor was there any pressure from any of the Ambassadors demanding the government's statement on the Arusha issue and that you regret for basing your story on misinformed sources.

6.0 Our further instructions are to point out that should you fail to heed to the demand herein, within 48hours of receipt of this notice, our client shall lodge formal complaints with the Courts and regulatory authorities seeking statutory remedies against you at your own risk as to costs and consequential damages, without further notice. Please note that, should you necessitate such action, our client shall, in additional to claiming compensation for the damage and injury occasioned to him, also seek exemplary damages and other punitive sanctions against you.

Please treat this matter seriously and respond accordingly.



Respectfully,
TRUSTMARK ATTORNEYS

Joseph Tadayo
ADVOCATE

C.C: 1. The Inspector General of Police,
Police Headquarters,
Dar es Salaam. – for information

2. The Dean of Diplomatic Corps
Dar es Salaam. – for information

3. The Director of Information,
Ministry of Information Culture Youth and Sports
Dar es Salaam.

4. Hon. Bernard K. Membe (MP)
Minister for Foreign Affairs and International Cooperation,
Dar es Salaam. Source: Michuzi blog

Literally....

Mr Membe said this when briefing reporters after his meeting with members of the diplomatic corps.
"The Police Force was supposed to use reasonable force when dealing with civilians in order to ensure that it preserves peace and security," he said in what he termed as personal views on the Arusha incident in which more than 40 people, including top Chadema leaders, were injured.

He said the Arusha incident has tarnished Tanzania's image abroad and it would take some time for the government to clean the image.

"During the meeting with ambassadors, they had pressed me to give the government's stand over the killings... I told them that the government statement would be issued within this week that it was dismayed by the killings," he said.
He described the deaths as affecting the nation because those who were killed were Tanzanians.
"I offer my condolences to the families which lost their loved ones. I also pray for quick recovery for those who have been injured," he said.

He said the recent Arusha killings were among issues which were extensively debated when he met with the ambassadors at Karimjee Hall.
The diplomats suggested that the Police personnel should be trained on how to handle such incidents so as to avoid casualties in the future, advise which the government was going to work on, he said.
Other reports from the meeting said the envoys blamed the Police for using excessive force when dealing with unarmed demonstrators.
 
Aliyemrecord Membe that day aturushie humu. Sometimes kuna kutafsiri ndivyo sivyo au kuongea ndivyo sivyo ukatafsiriwa usivyotaka. Takata Membe kwa jk
 
Kwa hiyo membe anawashtaki kuwa hakuya kemea mauaji? Kwa tasfiri nyingine jamaa anaya-support mauaji, halafu nyie mnasema ameyakemea...hivi huyu si ndie wanamtaja taja kuhusu urais 2015..duuh, another timing bomb..hii ni janja ya nyani ya ku-create another headline ili tusahau ndugu zetu haraka na issue za dowans..wake up my brothers and sisters!
 
Kutumia wakili inamaanisha ni ishu binafsi kwamba aliyatamka hayo sio katika capacity yake ya uwaziri...napata taabu kuwaelewa viongozi wa serikali wa kipindi hiki huwa wanafikiri watanzania tunatumia matope kufikiri.?
 
Naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa Tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.

Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi...Hivi magazeti yanayoongozwa na RA na washikiria wake ndo the best in Tz? Au ndo kusema Tz hakuna gazeti hata moja?
 
Member anaangukia PUA MIMI NILIMSIKILIZA TBC AKIONGEA HAYA

SOMETHING WANATAKA KUPIKA HAWA JAMAA

LAKINI HAWAWEZI HATA WAKIYAFUNGIA HAYA MAGAZETI BADO NGUVU YA UMMA ITAZIDI KUDAI HAKI YAKE
 
Kushtaki sio issue ya ajabu, sembuse kutaja nia ya kushtaki?? Namshauri aende kwa kudhani atatufunga mdomo, mbona wengine walimwaga tindikali, walifanikiwa kutunyamazisha, nope never never, Membe kama umefulia kisiasa unajaribu kurudi too late, huna jipya tangu uingie hiyo wizara, au unalo moja, just put it on the table so that we discuss, CCM kivumbi hiki mtaendelea kukiona mpaka vitambi vipungue kwani tutaendelea kuwachosha brain zenu ambazo zilikuwa likizo miaka mingi, Heko Mwanachi, Mwanahalisi, Tanzania Daima na wote wanaosimamia ukweli.....
 
"...at the end of the session Membe remarked that i am very sorry of the death that took place at Arusha..." ha ha ha ha maji yameshamwagika hayazoleki imekula kwake hiyo uraisi mwaka 2015 ameukosa kwanza upande wa chama hameonekana hafai na kwetu raia wema amehonekana hana msimamo maana maneno haya aliyasema , na bado mengine yanakuja.
 
Nina clip Membe akiongea hayo ngoja niiweke vizuri niwerushie!



Hapo utakuwa umemaliza ubishi. Maana kama ni kweli anavyosema Bwana Membe then credibility ya magazeti yetu itabidi ichunguzwe maana hawa jamaa wamequote aliyoyasema kwa kutumia hizi alama (".............."). Tofauti na Hosea yeye alitumia lugha ya kiswahili hivyo hana kisingizio kama mwenzake na wikileaks.
 
Kukanusha ni fashion siku hizi. Hata mtu akisema na akasikika kesho yake akibanwa utasikia eti alikaririwa vibaya. Si mnakumbuka kukanusha kwa Dr. Hosea?
 
Mimi hapa bado sijaelewa. Inaamnisha yeye ana support kilichofanyika Arusha? Defamation kwa uelewa wangu ni kuchafuliwa jina, je jina lake limechafuliwaje hapa?

Inamaanisha anapotoa kauli kwamba hajawahi kusema maneno hayo, je inamaanisha kwamba yeye anaona kilichofanyika Arusha ni sawa sawa? Polisi kuua raia? Ama kweli, siasa kumbe maana yake ni kuwakana wananchi...!
 
Back
Top Bottom