Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,501
- 93,059
Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi...Hivi magazeti yanayoongozwa na RA na washikiria wake ndo the best in Tz? Au ndo kusema Tz hakuna gazeti hata moja?
Tujifunze kudadisi mkuu, nimeandika hivyo nina hasira kali sana na hayo magazeti, cha kushangaza hatujawahi kuyashitaki hata siku moja, tunaishia kulalamika tu.