Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai na uhalifu wa kivita ni sehemu tu (Section) katika mahakama ya kimaitafa(ICJ).Mkuu kwani mahakama ya kihalifu ya the hague ndiyo hii hii ICJ?
Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai na uhalifu wa kivita ni sehemu tu (Section) katika mahakama ya kimaitafa(ICJ).Mkuu kwani mahakama ya kihalifu ya the hague ndiyo hii hii ICJ?
Tumawezaje kuwa mjumbe katika kitu tusichokitambua? Naomba nielimishwe hapa.
Ngoja niende mbali kidogo
nafikiri tukijua hivi vitu ni mwanzo mzur
1.kati ya ujerumani na uingereza yupi anaongoza kwa kuchangia bajet ya nch hiz mbili na nani anachangia wapi?
Hapa nikutaka kujua ni nani ana support upande upi coz hawa jamaa wanaweza wakawa wanashinikiza haya mambo ili wapate kitu,nikijua jibu la swali hilo naweza kuendelea zaid
Tumawezaje kuwa mjumbe katika kitu tusichokitambua? Naomba nielimishwe hapa.
nchi yoyote inakuwa convicted na ICJ, kutokuwa au kutoitambua ICJ sio kinga...ngoja nipekuwe vifungu hapa nitavimwaga humu. Hawa mawaziri wetu sijui hawaombi ushauri kabla ya kunena.
Mbona kauli ya Membe ipo sawa na ya huyo Mmalawi"But Chancellor College international law expert, Dr. Mwiza Nkhata,* said in an interview soon after the talks that the world court would not* automatically decide on the matter because Tanzania did not give* compulsory jurisdiction to the court on interpretation of treaties and* questions on international law."
Waingereza ndio wanaongoza kwa kuchangia bajeti ya Tanzania. Takriban 30% ya misaada inayotolewa kwenye bajeti ya serikali yetu (General budget support) inatoka na UK. Na sasa wapo kwenye oil & gas yetu!
Nchi inaweza kuwa mwanachama wa shirika lolote la kimataifa kama mwangaliaji tu lakini sio mshiriki wala kuwa na kura ya kutoa maamuzi. Mfano mzuri ni taifa la Vatican na Palestina ambazo zimo kwenye baadhi ya mashirika kama wahudhuriaji tu.Tumawezaje kuwa mjumbe katika kitu tusichokitambua? Naomba nielimishwe hapa.
Wewe kweli ndevu!tunavyong'ang'ania huo mpaka na hayo mafuta kama tuna nia nayo nzuri?
Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai na uhalifu wa kivita ni sehemu tu (Section) katika mahakama ya kimaitafa(ICJ).
Angalau Membe amenifurashisha katika majibu yake: Doria ziendelee kama kawaida, maana si jambo geni! Pia hizi ramani zinazoonesha mpaka kuwa katikati ya Ziwa letu Nyasa nazo si ngeni, why kuzigomea sasa kwa Serikali ya Malawi?
Wakati tunapigana na Uganda malawi walijaribu kuingilia ziwa nyasa wakifikiri uwezo wetu umepungua matokeo yake walipigwa na meli yao ikazamishwa ikabidi mambo yaishe kimya kimya huyu mama anacheza mchezo wa kisiasa anataka kuwafuraisha watu wa ulaya na wakati huo huo kupata sapoti ya wananchi wake hasa baada ya kuunga mkono ndoa za jinsia mojaMembe has played his cards brilliantly so far.
Huu ni mgogoro ambao akili pamoja na msuli wa kijeshi vinaendelea kutumika.
In short Joyce anacheza mchezo ambao kwake ni wa kike zaidi.
Membe jana ni alisema sula la mpaka na Malawi itabidi litatuliwe once and for all.
Very good to state the end game.
Katika sehemu tunayoidai tayari kuna doria na ndege za "uchunguzi" za Malawi zilishapigwa marufuku, na Malawi ika backdown.
Doria inayofanywa ni ya vyombo vya Tanzania, iwe fishing patrols au vya kijeshi.
ICJ, Tanzania hatuitambui, kwa hiyo Malawi watazidi kubanwa kwa options za kutatua tatizo hili.
Kimsingi Malawi ni lazima watambue kuwa mwaka 1978, Mwalimu wakati huo alilipuuzia tishio la uvamizi toka Uganda, naona JK kwa sasa fundisho hilo analielewa fika. Vijana wako mipakani na Joyce analitambua hilo.
The maneuvres, both diplomatic and on the ground are commendable.
Keep it up!
Mkuu usiangalie jambo kwa upande mmoja tu, ni Berlin conference hiyo hiyo iliyopelekea Tanganyika kupata eneo kubwa zaidi tena lenye kila kitu cha thamani(eg. Mito, maziwa, Bahari, Mabonde, Milima, Madini, nk)
Kama si mkoloni basi huenda leo hii Tanzania ingekuwa nchi ndogo kieneo kuliko Burundi!!
ICJ- International Court of Justice, NewYorkMkuu kwani mahakama ya kihalifu ya the hague ndiyo hii hii ICJ?
Membe has played his cards brilliantly so far.
Huu ni mgogoro ambao akili pamoja na msuli wa kijeshi vinaendelea kutumika.
In short Joyce anacheza mchezo ambao kwake ni wa kike zaidi.
Membe jana ni alisema sula la mpaka na Malawi itabidi litatuliwe once and for all.
Very good to state the end game.
Katika sehemu tunayoidai tayari kuna doria na ndege za "uchunguzi" za Malawi zilishapigwa marufuku, na Malawi ika backdown.
Doria inayofanywa ni ya vyombo vya Tanzania, iwe fishing patrols au vya kijeshi.
ICJ, Tanzania hatuitambui, kwa hiyo Malawi watazidi kubanwa kwa options za kutatua tatizo hili.
Kimsingi Malawi ni lazima watambue kuwa mwaka 1978, Mwalimu wakati huo alilipuuzia tishio la uvamizi toka Uganda, naona JK kwa sasa fundisho hilo analielewa fika. Vijana wako mipakani na Joyce analitambua hilo.
The maneuvres, both diplomatic and on the ground are commendable.
Keep it up!
Hakuna unachujua wewe , unakubaliana na huu upuuzi wa membe kuwa tanzania haiitambui ICJ Wakati Othman chande alikuwa anagombea nafasi ya ocampo akapigwa chini, pili Angalia statement para ya mwisho kuwa TZ imejipanga kwa kuwa na wana sheria makini na ati hakuna kesi imewashawishi kupelekwa ICJ kuhusu mgogoro wa maji na nchi moja ikapewa yote, hii inamaanisha kuwa wanaitambua ICJ, sijawahi kukaa nimwamini an hypocrite membe.