EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Membe anaongea sana! Sasa hivi wamalawa washatuona irelevant country kama alaivyosema premier wa israel.
Nadhani wana uhakika wa wanachotaka kukifanya na wana backup ya kutosha!
Wakati sie ndiyo kwanza tumeunda timu ya wataalam kufanya "documentation" kwa sababu sisi Tanzania hatukuwa na documentation ya mgogoro wa ziwa Nyasa.