Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,279
- 105,481
Mkuu ulishata majibu ya swali la hili mpaka kufikia muda huu?
Sijapata jibu wala nini.
Ninachoona ni kwamba Foreign Policy ya Tanzania inaendekeza kutoa misimamo kabla ya kusoma upepo na haina "strategic non-alignment".
Ndiyo maana unasikia Kikwete anaingia kwenye ma beef na Wanyarwanda na WaEthiopia kirahisi.
Na kama rais Obama anavyopenda kusema, tunaishia kuwa "on the wrong side of history".
Mkuu unaandika thesis on this au vipi?
Maana umelifukua.