Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,570
- 19,444
Jambo hili limenishangaza sana; tangu kumjua Kikwete kama Rais wa Tanzania sikuwahi kumwona hata siku moja akiachia trip. Inaonekana kulikuwa na tishio kubwa sana huko NEC kiasi kuwa akaamua aiache trip hiyo ambayo ilikuwa ni haki yake kama kiongozi wa nchi kukutana na viongozi wenzake.