Membe arrives to attend the 67th session of the UN General Assembly

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

MONDAY, SEPTEMBER 24, 2012

H.E. Mwanaidi Sinare Maajar, Ambassador of the United Republic of Tanzania in the United States of America and Mexico welcomes Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation upon his arrival at the John F. Kennedy (JFK) International Airport in New York, U.S.A. Hon. Membe is in New York to address the United Nations General Assembly on behalf of H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania in this year's 67th Session of the United Nations General Assembly (UNGA - 67). Also in the photo is Ambassador Celestine Mushy (center), Director of the Department for Multilateral Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.

Hon. Membe (2nd right) is welcomed by Ambassador Maajar (left), H.E. Ambassador Tuvako Manongi (right), Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations and Ambassador Mushy (3rd left). Also in the photo is Mrs. Membe (behind - 2nd left).

Ambassador Manongi (right) briefs Hon. Membe about the upcoming bilateral meetings, side events and the 67th United Nations General Assembly.

Hon. Membe (left) gets briefed about the 67th Session of the United Nations General Assembly (UNGA - 67). In the photo are Ambassador Manongi (2nd left), Mr. Modest Jonathan Mero (3rd left), Minister Plenipotentiary at the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the UN. Others are Ambassador Maajar (2nd right) and Ambassador Mushy (1st right). The 67th UNGA opened last Tuesday on 18 September, 2012 at the United Nations Headquarters in New York, in U.S.A. under the Presidency of H.E. Vuk Jeremic, Foreign Minister of the Republic of Serbia. The 67th UNGA is expected to end on December 24, 2012. 

Ambassador Maajar (left) and Ambassador Mushy (center) listen to Hon. Membe's (not in the photo) directives for the 67th United Nations General Assembly. Right is Mr. Noel Kaganda, First Secretary at Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations. All photos by Tagie Daisy Mwakawago of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation

MONDAY, SEPTEMBER 24, 2012 ~ MICHUZI BLOG

Ina Maana NEC 2012 Ina Umuhimu haswa... Rais hata panda NDEGE kwenda New York ???

Maslahi naona yapo NEC - CCM; Kupitisha Familia yake nini ?
 
I would not call this a breaking news. Imefahamika tangu Membe anaondoka Dar kuwa anakuja UN kumwakilisha Kikwete.
Suali pekee ni sababu zilizompelekea Kikwete asije NY mwenyewe, but it is not breaking news.
 
Yeah, kuna ambao kwao Sio Breaking News kwasababu ya kupata Info Mapema au kusikia Redioni Mapema...

Kuna Wengine Ni Breaking News kama ndio Mara ya kwanza kuona na kusikia... Kwangu ilikuwa hivyo...
 
I would not call this a breaking news. Imefahamika tangu Membe anaondoka Dar kuwa anakuja UN kumwakilisha Kikwete.
Suali pekee ni sababu zilizompelekea Kikwete asije NY mwenyewe, but it is not breaking news.

Kwa mbali naanza kuona ni kwanini wanafamilia wametumia nguvu kubwa kuingia NEC!. Hiki chombo ni muhimu kwa mikakati ya mbeleni, na ni wazi kuna mpango wa kubaki na 'remote control' hata baada ya 2015. Ukitafakari kwa mbali naona kuna mtu mwenye hamu ya kubaki na influence kama Mwl Nyerere.
 
kwenye red ndo haswaa!mimi kwa mtazamo wangu kikao hiki kikiisha wengi hatutaamini mabadiliko yatakayotokea ktk uongozi!ndo maana rais imembidi kubaki

I would not call this a breaking news. Imefahamika tangu Membe anaondoka Dar kuwa anakuja UN kumwakilisha Kikwete.
Suali pekee ni sababu zilizompelekea Kikwete asije NY mwenyewe, but it is not breaking news.
 
Kikao cha UN ni cha kawaida. Kama ulivyosema ni cha 67 kwahiyo kuhudhuria kwa waziri wa mambo ya nje ni sehemu tu ya shughuli. Waziri wa mambo ya nje mara nyingi hutangulia kabla ya Rais ili kuweka baadhi ya mambo sawa 'kwa protocal'.
Nadhani Rais atahudhuria kama ilivyo kawaida.

With all pics and big headline, I wonder if some will not perceive it as publicity!
 
Nguruvi3, Ukisoma caption kwenye picha ya kwanza imeandikwa Membe anamwakilisha rais. Nadhani hata hizi picha Membe katuma ili kuonesha yuko level nyingine sasa. ha ha ha EL!
 
Ina maana JK hatahudhuria general assembly? Kama ni hivyo ninabaki na shaka juu ya itifaki. UN general assembly ni kikao cha juu sana, kama Rais hataweza kufika vipi VP au PM! sina uhakika na protocal labda watu wa international affairs akina Ben Saanane waje hapa watufungue macho.

Ninachoweza kusema ni kuwa kuna element za publicity na sijui kama nipo peke yangu.
Publicity is ok, lakini kuna nyakati NEC ya CCM inaamua political future ya mtu na si UN.
 
Kwa mbali naanza kuona ni kwanini wanafamilia wametumia nguvu kubwa kuingia NEC!. Hiki chombo ni muhimu kwa mikakati ya mbeleni, na ni wazi kuna mpango wa kubaki na 'remote control' hata baada ya 2015. Ukitafakari kwa mbali naona kuna mtu mwenye hamu ya kubaki na influence kama Mwl Nyerere.
If that is the case, KIkwete is playing a dangerous game and I am sure he is going to lose. Kwanza mtandao umeshafarakana, na pili, hata ndani ya CCM kwenyewe Kikwete hana ushawishi aliokuwa nao Julius Nyerere. Atabaki na kura za Ridhwani tu na Salma, labda uongezeee na ya Sofia Simba.
 
CCM ya sasa inabadilika kila baada ya 24 hrs! Mitandao inaota na kufa kama uyoga. And I would say mtu makini kwa sasa anatakiwa asijiingize kabisa NEC.
 
Hii ni breaking news haswa kwa Mh Rahis Dkt JK kushindwa kuhudhuria General Assembly ya UN. Sijaamini hadi mkutano uishe!!!:dizzy:
 
Nguruvi3, Ukisoma caption kwenye picha ya kwanza imeandikwa Membe anamwakilisha rais. Nadhani hata hizi picha Membe katuma ili kuonesha yuko level nyingine sasa. ha ha ha EL!

Membe anapenda sana kujiboost ...Kama the special one......so what's the use of all this for a common minister....Pr nyingiiii.....,and Sijui Kama ministers wapo entitled kusafiri na spounces ...,majuzi tu kutumwa Malawi kapiga picha toka kwenye ndege ...na kuzituma kwenye ma blog as if anataka kuvuna popularity Binafsi .......wakati kazi kubwa kafanya mama tibaijuka na wala hajajitangaza
 
Photo oppoturtunity kama hii haina faida yoyote kabisa zaidi yake yeye (Membe). Pyschologically, anaamini kuonekana kweney ma-blogs inamjenga kisiasa! Not bongo!
 
Membe anapenda sana kujiboost ...Kama the special one......so what's the use of all this for a common minister....Pr nyingiiii.....,and Sijui Kama ministers wapo entitled kusafiri na spounces ...,majuzi tu kutumwa Malawi kapiga picha toka kwenye ndege ...na kuzituma kwenye ma blog as if anataka kuvuna popularity Binafsi .......wakati kazi kubwa kafanya mama tibaijuka na wala hajajitangaza

Tumegubikwa na wivu wa kijinga mpaka tunaigeuza hii kuwa issue. Aliyepost hizi picha si Membe na hakuna tatizo kwa yeyote kati ya mashabiki wake kufanya hivyo na imekuwa ikitokea humu kila wakati. Juzi Lowassa alichafua kurasa humu alipokabidhi madawati vingunguti na hakuna aliyepiga kelele sembuse hili tukio kubwa la kuwakilisha nchi?

Unapozungumzia waziri kusafiri na spouse sijui unamaanisha safari za wapi na waziri gani. Lakini nikujibu kwamba kuna nyakati na mazingira vinaruhusu na ni viUri ukajiridhisha kama gharama za safari ni za serikali. Kumbuka majuzi hapa Lowassa alifanya ziara ya kwenye balozi zetu na akasafiri na mkewe kwa gharama za ofisi ya bunge!
 
Waziri Bernad Membe(Waziri ya mambo ya Nje wa Tanganyika) na Mheshimiwa Abubakar Khamis Bakary (Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar)..Katika mkutano wa UN.....Je Zanzibar itafaidika na kitu gani katika mkutano huuu?????
 
Attachments

  • Mawaziri.jpg
    Mawaziri.jpg
    86.5 KB · Views: 30
Waziri Bernad Membe(Waziri ya mambo ya Nje wa Tanganyika) na Mheshimiwa Abubakar Khamis Bakary (Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar)..Katika mkutano wa UN.....Je Zanzibar itafaidika na kitu gani katika mkutano huuu?????

Faida itakazozipata Tanganyika ushazijuwa mpaka ukaulize za nchi jirani?
Jiongeze angalau kidogo.
 
Back
Top Bottom