Ochu
JF-Expert Member
- May 13, 2008
- 975
- 47

Kama ameomba msamaha asamehewe bila masharti wala masimango, regardless amekuwa mnafiki au vipi!

si imeandikwa samehe saba mara sabini?

La msingi kaomba msamaha.

Tosha naungana na Mr Toyo nimewasamehe.

Hiyo siyo issue ya msingi. Issue kubwa ni nini kilisababisha au nani alisababisha ajali iliyoua watu wengi wasiokuwa na hatia. Tukipoteza muda kuangalia nani alilipia ukumbi wa mashindano ya ulimbwende tutashindwa kupata majibu sahihi ya tatizo kubwa la ajali nchini ambalo limetamalaki kwenye sekta zote za usafiri. Waingereza wanasema "We risk missing the bigger picture of the problem".
Wewe kubwa la Majuha! Teh teh teh! Kwa hiyo siku hiyo hiyo Ali Hassan Mwinyi, alimpokea Michael Jackson??Wewe Juha MV Bukoba imezama May 21, 1996

We vipi? unaambiwa Vodacom miss Tanzania!

FF hajaiona hii akawajibu?
Watu wako Zanzibar nyie mpo Marekani!! Kazi kweli.Wewe kubwa la Majuha! Teh teh teh! Kwa hiyo siku hiyo hiyo Ali Hassan Mwinyi, alimpokea Michael Jackson??
jamani msiba ni wetu sote waliokufa ni watanzania tatizo la nyie wapemba sijui niwaiteje nakosa neno kama ni ubinafsi sijui kama ni kupenda muonekane mnatengwa sijui nakosa neneo .Ni hofu, huzuni na majonzi, zimetanda huku pemba. Mimi naishi huku Pemba nimepata taarifa tangu saa tisa usiku za ,redio ZENJ FM, ESQUAMA Vimekuwa vikitoa taarifa hizo kweli ajali imetokea na asubuhi hii wanasema KMkM (jeshi la kujenga uchumi zanzibar) wapo ktk eneo kwa uokozi na baadhi ya miili imesha na hiyo meli sasa inasukumwa na mawimbi kuelekea Tanga. serikali lazima iwajibike kwani Pemba imesahaulika katika kila sekta kama vile hakuna watu.
MUNGU KTK CHRISTO YESU AWAFARIJI WENZENTU WALIOFIKWA NA MSIBA HUU MKUBWA
Unawaza ushirikina tuKafara za taifa zinaendelea