logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,240
- 5,533
Sasa kama Urusi inapoteza wanajeshi milioni 15 katika vita unadhani kuna kitu hapo???
Unadhani kumsimamisha Adolf Hitler na Nazi Army ilikuwa rahisi eeh? Tafuta Historia ya WW2 uone washirika wa sasa wa NATO walivokuwa wamelemewa....Mwanajeshi kuuwawa ni kawaida vitani regardless the number ...mbona France, Britain walikuwa wametota kabisa...Mshukuru Russia na assistance ya USA kuwachapa Japan Yule Bwana angetawala a place in the sun na kwingineko