Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
We hujui Kuwa Sasa hivi kuna vuguvugu la uchaguzi Jangwani huenda mkuu wa Mkoa ni mpiga kampeni ya mmoja ya wagombea wa uongozi Yanga
Asipouza ataonekanaje Kuwa anafanya kazi? Hivyi vyeo vya umbea lazima uwe Mtu wa kujipigisha round utafte sehemu ya kuongea ili usikike nafkir na posho inahusikaHuyu mzee Sadiki anapenda sana kuuza nyago
Rasilimali za nchi zinapotea bure. Hivi mwenge usipopita miradi haitazinduliwa?.
ila huyu jamaa huwa anavaaga hovyo kabisa...ananikeraga anapovaaga visuti vya mikono mifupi bila fulana laini ya ndani, anabaki kifua wazi! Ameshafanya hivi mara nyingi..ila alinikera zaidi siku ya kumuaga bob nyanga makani! Kifua kimechoooka ka mnywa 'chimpumu' halafu unakionyesha onyesha!
Matumizi mabaya ya rasilimali.....mabastola ya nini?.....nani ataiba KIBATALI?
siku nikishachukua hatamu navugumisha mbali hiki kibatari..tuupa kule sijui kina maana gani tunapoteza pesa kwa mambo yaso yamsingi...mwanangu aliniuliza dingi hii nn nikamwambia hao walozunguka hapo nadhani wehu na mm na biashara za wehu ni tofauti...matumizi mabaya ya rasilimali.....mabastola ya nini?.....nani ataiba kibatali?