Kwa mujibu wa maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa msuli,yanga wamemrahisishia mwarabu kupiga goli

Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi.

Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya.

Mtapigwa goli na hadi mtavua hiyo misuli
Nadhani na timu yako inacheza siku iyo kwaiyo ungejikita kwenye mambo yanayohusu timu yako ya yanga waachie wanayanga usitake tuungane na Mzee Rage na ule msemo wake maarufu kuwa watu wa Simba ni "mbumbumbu"
 
.
FB_IMG_1701246495878.jpg
 
Back
Top Bottom