babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,903
- 6,668
Upweke unakusumbuaWako wapi GSM na kwanini ?
Upweke unakusumbuaWako wapi GSM na kwanini ?
Hata ngao ya hisani Yanga alinunua.Kuna kitu kinaendelea katika timu ya Yanga hawa lazima wananunua mechi haiwezekani. Angalia timu zinazocheza na Simba utadhani ni fainali.
Kumbe wale wachezaji wa Ruvu shooting walicheza na Simba kama fainali?Kuna kitu kinaendelea katika timu ya Yanga hawa lazima wananunua mechi haiwezekani. Angalia timu zinazocheza na Simba utadhani ni fainali.
Mtateseka sana mwaka huu.Nimependa tu kuona Yanga haina kiwango bora zaidi ya ujanja ujanja wa GSM kwa baadhi ya wachezaji wa Mtibwa hasa fowadi aliyevaa kiatu chekundu na kihimbwa
Kwakuwa ninyi mliwashindwa mtibwa akaamini na yanga watawashindwa siyo?nilitarajia matusi , kwahiyo sishangai , hatuwezi kuacha uchafu utawale kwa kuogopa kutukanwa
We jifurahishe tu manake kufurahi ndo sehemu ya soka lakini huwezi kuwa na mzuka wa kumsubiri Mwananchi wewe...Nawasubiri sana tena hadi naona kuchelewa ninahasira sana na vyura
Kama Simba anaweza kupata goli away kwenye CAF, Chura ni nani wa kumzuia Simba asipate goli?We jifurahishe tu manake kufurahi ndo sehemu ya soka lakini huwezi kuwa na mzuka wa kumsubiri Mwananchi wewe...
Away? Acha kuchekesha bhana...Kama Simba anaweza kupata goli away kwenye CAF, Chura ni nani wa kumzuia Simba asipate goli?
KOLO, unateseka ukiwa wapi?????hahahahaTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Nilikuwa nakuona mtu mwenye akili nyingi sana kumbe saa nyingine unakuwa saa mbovuTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Leo umenichosha kabisa thamani niliyokupa kumbe ilikuwa kazi bure hivi gsm anaweza kuhonga wachezaji wote wacheze vibaya.Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Acha uboya wewe watu wanawekeza pesa yan yanga ipo kamili sana tuna kipa, mabeki, viungo na mstriker bora sana, ile ni ubora tu mbona nyie mmewagunga watu saba na wapo kwenye ligi hatujasema yan ni hiv kila mtu ashinde mechi zake, yan hakuna striker yyte Simba anayemfkia mayele ata afumbe macho uwanjani...tunachukua ubingwa bila kufungwa halaf tukiingia klabu bingwa msimu ujao tutawaonyesha watu wanavyoingia nusu fainali kirahisi.Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Unaumia ukiwa wapi?Bwasheeeeee
Wamechelewa kwani Rushwa ilishatembea Kitambo sana na nakuacha na Swali umeshajiuliza ni kwanini Beki Muhimu wa Mtibwa Sugar FC Abdi Banda mpaka Saa 6 Mchana jana alikuwa Mzima ( Fiti ) ila baadae akajifanya Mgonjwa ghafla na kuomba asipangwe?Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki? Unahoji kipumbavu sana, kama ishu ni Abdi Banda kuhusushwa na rushwa kisa tu kutopangwa je angeshindwa vipi kucheza chini ya kiwango kama angepangwa ili kuwafanya Yanga ishinde mpaka aamuliwe asipangewe? Mechi zote alizochezeahwa huyo Banda, Mtibwa hakupoteza?Wamechelewa kwani Rushwa ilishatembea Kitambo sana na nakuacha na Swali umeshajiuliza ni kwanini Beki Muhimu wa Mtibwa Sugar FC Abdi Banda mpaka Saa 6 Mchana jana alikuwa Mzima ( Fiti ) ila baadae akajifanya Mgonjwa ghafla na kuomba asipangwe?
Na Yanga SC wote walikuwa Wakimhofia zaidi Yeye ( Abdi Banda ) kwakuwa walijua angekuwa Kikwazo cha Ushindi Kwao kwakuwa angemdhibiti vilivyo Mshambuliaji wao Tegemezi Fiston Kalala Mayele ambayo kwa sasa ndiyo Roho ya wana Yanga SC wote duniani na mbinguni.
Jikite kwenye madaHalafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika! Na wakati mnastahili kabisa.
Kwa hiyo mlipo wafunga Ruvu Shooting 7 kwa 0, na wenyewe waliwauzia mechi! Au ni kwa sababu mna kiwango cha juu sana?
Jikite kwenye mada
Mkianza kushinda kimataifa. HahahahaYanga ikishinda, imenunua mechi/ imenunua wachezaji/ imenunua waamuzi! Ila simba ikishinda goli 7 bila, ni kiwango cha wachezaji! Si ndiyo hivyo?
Ni lini mtakubali ukweli?