Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

Status
Not open for further replies.

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,093
725
Wakuu naomba mwenye taarifa ya mechi ya Leo inaanza saa ngapi?, na je television yetu ya taifa itaonyesha mechi hii na kama television yetu ya taifa haitaonyesha ni television ipi itaonyesha ili tuangalie live. Na kama television yetu ya taifa haitaonyesha mechi hii ya taifa stars wananchi tufanye nini ili mechi zijazo ziwe zinaonyeshwa na TBC 1 ili sisi walipokodi wa nchi hii tusio na uwezo wa kwenda uwanja wa taifa tuweze kuiona timu yetu ya taifa stars live?. Asanteni kwa kunielewa

Wakuu naona TBC1 wamejiunga na ZBC wanaonyesha live asanteni kwa ushirikiano
 
Wataonyesha tbc tatizo huu mgao wao sasa yaan hii nchi huu ugonjwa hatuponi kamwe,
 
Wakuu naomba mwenye taarifa ya mechi ya Leo inaanza saa ngapi?, na je television yetu ya taifa itaonyesha mechi hii na kama television yetu ya taifa haitaonyesha ni television ipi itaonyesha ili tuangalie live. Na kama television yetu ya taifa haitaonyesha mechi hii ya taifa stars wananchi tufanye nini ili mechi zijazo ziwe zinaonyeshwa na TBC 1 ili sisi walipokodi wa nchi hii tusio na uwezo wa kwenda uwanja wa taifa tuweze kuiona timu yetu ya taifa stars live?. Asanteni kwa kunielewa

Nadhani itapendeza TV ya taifa ibaki na maswala ya jamii. Ya michezo yafanywe na TV zingine. Tanzania ya leo si ya jana kila kitu serikali. Kinachotakiwa ni uboreshaji wa huduma zake.
 
Kama mechi hii sio muhimu mbona jk ameonekana kwenye TV akihamasisha wananchi kuchangia na kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yetu ya taifa mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom