Ni kozi nzuri Sana. DMI naona Wana hiyo kozi.. usiniulize mala mbili mbili soma hutojutiaNipeni uzi wanaojua kuhusu kozi ya mechatronics
Asante nashukuruMechatronics is an overrated name, it just mean “controlling mechanic machines using electronics” or electronically controlled machines”
Nothing new in that,
Most of the works will resemble an automation and controls engineer job. Playing with PLCs automating industrial machines.
But Automation and controls is part of electrical eng.
Robotics are one example of mechatronic discipline but Controls, Electrical guys would breeze that with easy tu.
You’ll be encountered with some mechanics , some programming, and bridge courses.
Kama kuna auto industries, robotics that’s where you’ll be working.
I don’t know umeona nini special kwenye mechatronic which is too specialized for a beginner.
Kwa uzoefu wangu nimekushauri ivyoAsante
Humu hawakosekani wataalam waliosomea hapa Bongo. Maybe watatoa muongozo zaidiCase 3.
Kuna faza mmoja alimpeleka kijana wake England huko kusomea hii kitu, mpka leo tunavoongea yuko huko england hana nauli ya kurudi bongo
Case 4.
Faza mwingine alipeleka Mexico kijana wake same thing.
Sasa hv yuko Dodoma anauza mboga mboga za kumwagilia
MiMi najua haya mambo haina haja ya kusubiri wataalam
Case zipo nyingi mno
Bangida
Hawana bahati na kazi.. tu..Case 3.
Kuna faza mmoja alimpeleka kijana wake England huko kusomea hii kitu, mpka leo tunavoongea yuko huko england hana nauli ya kurudi bongo
Case 4.
Faza mwingine alipeleka Mexico kijana wake same thing.
Sasa hv yuko Dodoma anauza mboga mboga za kumwagilia
MiMi najua haya mambo haina haja ya kusubiri wataalam
Case zipo nyingi mno
Bangida
😂😂😂😂😂🤓🤓🤓🤓Hawana bahati na kazi.. tu..
Weeee soma tu, kusoma na ajira Mambo mawili tofauti😂😂😂😂😂🤓🤓🤓🤓
Nasoma robotics Engeenering
Ni yale yale tuNipeni uzi wanaojua kuhusu kozi ya mechatronics
Sawa mkuu asanteNi yale yale tu
Nenda kasomee, Mechanical au Electrical au Electronic engineering.
Na utaweza kufanya robotic, programming, na mazaga yote
Hilo jina ni la kisanii tu, mambo ni yaleyale ya kwenye core engineering hizo tatu hapo juu.
Na utakuwa wigo mpana wa kazi kama unataka kuajiriwa, bongo hakuna kazi itasema wanataka mechatronics engineering tu.
😅😅😅AiseeCase 3.