me na my ex

joskill

Member
Apr 7, 2011
52
10
jaman nilikua na mpenz kwa miaka mitano na ushehe ila 2kaja achana na kila mmoja akaenda separate way, ikawa no calls, no sms hata salam na sasa kila mtu ana mpenz mwingine kwa takriban kama mwaka mmoja, ila nashangaa kila kukicha 2napigiana cm eti 2nasalimiana huku imekuwa ni siri kwa wapenz we2 wapya na 2mepanga appointment wikiend hii 2onane ili 2kumbushie game enzi ze2 6 * 6. Kwenda nataka ila naogopa ntanogewa then nikaja vuruga my new relationship.
 
Wewe hangaika na wapenzi tu siku hazigandi, amua kuachana na biashara kichaa tafuta mke uoe na huyo mpenzi wa zamani aolewe.
 
Joskill achana na huo Ujinga! Mliachanaje?Why now ,Je wapenzi wenu wa sasa wakijua itakuwaje?be wise
 
Nani unampenda zaidi??
Ni bora kuchagua mmoja
..nilichogundua dunia haina siri
kuwa mkweli na nafsi yako dear..
Utaona raha zaidi kuliko kufikiria pande zote...
 
jaman nilikua na mpenz kwa miaka mitano na ushehe ila 2kaja achana na kila mmoja akaenda separate way, ikawa no calls, no sms hata salam na sasa kila mtu ana mpenz mwingine kwa takriban kama mwaka mmoja, ila nashangaa kila kukicha 2napigiana cm eti 2nasalimiana huku imekuwa ni siri kwa wapenz we2 wapya na 2mepanga appointment wikiend hii 2onane ili 2kumbushie game enzi ze2 6 * 6. Kwenda nataka ila naogopa ntanogewa then nikaja vuruga my new relationship.

Haya ndio matatizo ya kuachana kwa amani....! Kamwe siwezi kuamini kambi inayovunjwa kwa amani kuwa eti haitaridiwa tena....! Tafadhali mkuu, daima kambi ya mapenzi sio kambi ya kuvunja kwa amani au bila sababu nzito....! Binafsi kamwe siwezi, na wala sitaweza kuamini kuwa mapenzi yanaweza yakaisha.... labda iwe yalivunjika kwa sababu ya ugomvi mkubwa ulioshindikana kusuluhishwa.... Labda kama unahitaji msaada on how to stop it completely tunaweza....! Be serious mkuu...
 
Sasa we joskill tukuiteje? Tukikuita malaya tunakosea? Kuwa na mawazo mapana sio mpaka pHD, uliachana na ex wako kutokana na 7babu, sasa hizo mbona hamzikumbuki? Waza!
 
Kumbe unaogopa kwenda usije ukanogewa sasa unachouliza hapa ni nini? tukwambie nenda ukanogewe au...... ?

jaman nilikua na mpenz kwa miaka mitano na ushehe ila 2kaja achana na kila mmoja akaenda separate way, ikawa no calls, no sms hata salam na sasa kila mtu ana mpenz mwingine kwa takriban kama mwaka mmoja, ila nashangaa kila kukicha 2napigiana cm eti 2nasalimiana huku imekuwa ni siri kwa wapenz we2 wapya na 2mepanga appointment wikiend hii 2onane ili 2kumbushie game enzi ze2 6 * 6. Kwenda nataka ila naogopa ntanogewa then nikaja vuruga my new relationship.
 
chagua mmoja unaempenda kwa dhati ndo utulie nae la sivyo utakuja kukosa pote na kutafuta magojwa pasipo na sababu
 
we vp ina maana my ex wako mtaalamu zaidi ya huyu wa sasa mpaka unaogopa kunogewa?
 
CHA CHA CHA CHAPA ILALEE!! Ila usishtuke siku ukisikia na mwenzio ANACHAPWA ILALEEE!!
 
Nafikiri umekwisha ipitia post inayoonesha kuwa sasa tumebakiza siku moja tu kabla ya dhahama kuu ya mwisho wa dunia.Sasa inawezekana hata hako ka mchezo kako ka uzinzi ulikokapanga kasifanikiwe,kwani weekend yenyewe mlioipanga ndio mwisho wenyewe.Teh teh teeeeeeeh!
 
Back
Top Bottom