Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 264
Salaam kwenu wote,
Napenda kuwatangazia kwamba Vox Media na East Africa Business and Management Training Institute wameandaa tena mdahalao Jumamosi ijayo utakohusu ubinafsishaji wa UDA. Washiriki watakuwa Dr. Didas Masaburi (Meya), Mkurugenzi wa Simon Group, na tunatarajia pia kuwa na wabunge wa dar es Salaam au mwakilishi wao. Mahali ni Movenpic Hotel na mdahalo utarushwa moja kwa moja na Star TV kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi mbili kasoro dakika kumi usiku. Wanaohitaji kadi wawasiliane na Juvenalis Ngowi (0784 265072).
Tanzania tunaitaka itawezekana kwa aina hii ya uuzaji? Karibu uulize na kutoa dukuduku lako