std7 JF-Expert Member May 6, 2011 1,738 2,642 Sep 24, 2011 #1 Unahusu mustakabali wa muungano katika katiba mpya.
rosemarie JF-Expert Member Mar 22, 2011 6,887 3,412 Sep 24, 2011 #2 nani anaendesha huo mdahalo,na kuna wakina nani nilsimama kutizama star tv na itv kwa muda mrefu kidogo
nani anaendesha huo mdahalo,na kuna wakina nani nilsimama kutizama star tv na itv kwa muda mrefu kidogo
Mosachaoghoko Senior Member Apr 19, 2011 137 10 Sep 24, 2011 #3 Issa shivji ndie m/kiti na unafanyikia Nchini zanzibar
Nduka JF-Expert Member Dec 3, 2008 8,552 2,360 Sep 24, 2011 #4 Fashion ya katiba imepita, vyama vya msimu sasa hivi ni msimu wa uchaguzi mdogo.
JamboJema JF-Expert Member Jun 14, 2011 1,143 209 Sep 24, 2011 #5 Mosachaoghoko said: Issa shivji ndie m/kiti na unafanyikia Nchini zanzibar Click to expand... Duh! Sawa Mkuu umeeleweka.
Mosachaoghoko said: Issa shivji ndie m/kiti na unafanyikia Nchini zanzibar Click to expand... Duh! Sawa Mkuu umeeleweka.