Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Jamani wanajamii naombeni video ya mdahalo wa rais wangu! Sikupata muda kutokana na ufinyu wa muda na majukumu ya kusaka ushindi! Nisaidieni!
 
na Mabele Marando o

Unanikumbusha wakati wa uhulu nyelele na wenzake walivyokuwa wakiwaelimisha wananchi umuhimu wa uhulu. Shy bado R na L zinakusumbua? mie nipo mologolo nikija dalesalamu nitakucheck
 
PakaJimmy;1174520]Basi kama wanaona midahalo mingine yote inayoandaliwa na wengine ina dalili za upendeleo na lack of security kwa mgombea wao, then wao (kama ccm et al)waandae mdahalo for the sake of Tanzanians, mdahalo ambao wao wataona una sifa zote za kuwepo mgombea wao na wengine pia...Utaona jinsi ambavyo wagombea wa vyama pinzani watakavyouchangamkia!

Kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko inatia shaka kuona kuwa upo tayari kusuggest unethical means just for the sake of getting what u wish to see. Ukweli ni kuwa ili kuwa na mdahalo vitu vitatu muhimu lazima viwepo. Makubaliano ya jinsi ya kuendesha mdahalo, aina ya maswali lakini pia platform ambayo ni friendly and neutral to all. Sasa kwa kuwa uana demokrasia wa watanzania umegubikwa na ukada na mambo mengine yasiyo na tija wala kushabihiana na utamaduni wa kidemokrasia tupo tayari kuhalalisha ukiukwaji wa maadili na huku tunapeperusha bendera ya maadili na uwajibikaji. CCM kuanda mdahalo wa kuwahusishawagombea wa vyama vyote its unethical and only those who believe in siasa za ujanjaujanja ndio wanaweza kuamini katika hilo.

What they can do ni CCM kuandaa mjadala wao kama ambavyo CHADEMA walivyofanya kupitia kwa kampuni ya Ansbert Ngurumo na Juvinales Ngowi .....lakini sio mdahalo

Ndugu zangu huu ukombozi wa kufumbia macho na kukumbatia siasa hovyohovyo, longolongo na ujanjaujanja utatukea puani kwani kama ambavyo hiztoria inavyonyesha hata kwa JK mwenyewe, ukishaanza kudharau ama kukiuka misingi kwa maslahi ya sasa uwe tayari misingi hiyo kukuvunja wewe katika maslahi ya muda mrefu.....
 
Siamini hii thread imekuwa viwed more than 10,000 big impact i can tell kila laiyeiona akisimulia watu kumi imagine ndio kura zenyewe hizo
 
Omarlyas,
Mkuu wangu tafadhali sasa naona waenda mbali kusiko kabisaaa..
sasa nenda kawambie TBC waandae Mdahalo tena wakishirikiana na CCM halafu mualikeni Dr.Slaa - Atakuja! mradi tu mdahalo huo awepo KIkwete na mgombea mwingine yeyote kwa uchaguzi wenu kisha Dr.Slaa anaruhusiwa pia kumuuliza maswali Kikwete. Maswali yenu yoote yawe kwa Dr. Slaa, ila naye apewe muda wa kuuliza maswali yake kwa JK!..

Ikiwa vyombo vyote vya habari nchini vinamilikiwa na wanasiasa, inakuwaje leo kuanza kulaumu Chadema walioandaa Interview na sio Debate na Dr.Slaa mkidai tena pasipo aibu kwamba ulikuwa ni mdahalo. Hivi kweli wasomi kama nyie mnqashindwa kuelewa maana ya mdahalo (debate) hata kuichanganya na kilichotokea majuzi ITV!
 
Mimi nina swali moja, kwanini watu waliingia na bendera za Chadema? Hii haina maana maswali yote yalitoka kwa wanachadema hivyo yaliandaliwa hapo kabla?
 
Zilikuwa zinauzwa nje wengi walinunua kama contribution kwa chadema nyingine wakagawa ndani waliopenda walichukua wengine hawakupokea nakumbuka sio wote walizishika kwa kuogopa kuwa partisan kwa sababu ya wajibu uliowapeleka pale waandishi mashushushu,wakereketwa wanaharakati na wanachama na wafuasi ili kuwa kunogeresha mdahalo tuu
 
Kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko inatia shaka kuona kuwa upo tayari kusuggest unethical means just for the sake of getting what u wish to see. Ukweli ni kuwa ili kuwa na mdahalo vitu vitatu muhimu lazima viwepo. Makubaliano ya jinsi ya kuendesha mdahalo, aina ya maswali lakini pia platform ambayo ni friendly and neutral to all. Sasa kwa kuwa uana demokrasia wa watanzania umegubikwa na ukada na mambo mengine yasiyo na tija wala kushabihiana na utamaduni wa kidemokrasia tupo tayari kuhalalisha ukiukwaji wa maadili na huku tunapeperusha bendera ya maadili na uwajibikaji. CCM kuanda mdahalo wa kuwahusishawagombea wa vyama vyote its unethical and only those who believe in siasa za ujanjaujanja ndio wanaweza kuamini katika hilo.

What they can do ni CCM kuandaa mjadala wao kama ambavyo CHADEMA walivyofanya kupitia kwa kampuni ya Ansbert Ngurumo na Juvinales Ngowi .....lakini sio mdahalo

Ndugu zangu huu ukombozi wa kufumbia macho na kukumbatia siasa hovyohovyo, longolongo na ujanjaujanja utatukea puani kwani kama ambavyo hiztoria inavyonyesha hata kwa JK mwenyewe, ukishaanza kudharau ama kukiuka misingi kwa maslahi ya sasa uwe tayari misingi hiyo kukuvunja wewe katika maslahi ya muda mrefu.....

H aha ha ha Omar kidonge kimekukabaaa ... ha ha ha hahaha ha haha ha hah a
 
Omarlyas,
Mkuu wangu tafadhali sasa naona waenda mbali kusiko kabisaaa..
sasa nenda kawambie TBC waandae Mdahalo tena wakishirikiana na CCM halafu mualikeni Dr.Slaa - Atakuja! mradi tu mdahalo huo awepo KIkwete na mgombea mwingine yeyote kwa uchaguzi wenu kisha Dr.Slaa anaruhusiwa pia kumuuliza maswali Kikwete. Maswali yenu yoote yawe kwa Dr. Slaa, ila naye apewe muda wa kuuliza maswali yake kwa JK!..

Ikiwa vyombo vyote vya habari nchini vinamilikiwa na wanasiasa, inakuwaje leo kuanza kulaumu Chadema walioandaa Interview na sio Debate na Dr.Slaa mkidai tena pasipo aibu kwamba ulikuwa ni mdahalo. Hivi kweli wasomi kama nyie mnqashindwa kuelewa maana ya mdahalo (debate) hata kuichanganya na kilichotokea majuzi ITV!

Exactly Mkandara,

Mimi ningependekeza kuwa Tiddo Mhando (ambaye anajulikana na dunia nzima kuwa vuvuzela wa Kikwete) awe muendesha mdahalo.

Na hata hapo, Slaa ataenda, ila Kikwete ataingia mtini.

Omar anafanya spin tu hapa, I told y'all zamani sana kuwa Omar ni spinner wa J Kilaza Kikwete watu mkaanza ......ohh mwafrika unavuta bange .... yako wapi sasa.
 
Omarlyas haya ya kweli?
 
Kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko inatia shaka kuona kuwa upo tayari kusuggest unethical means just for the sake of getting what u wish to see. Ukweli ni kuwa ili kuwa na mdahalo vitu vitatu muhimu lazima viwepo. Makubaliano ya jinsi ya kuendesha mdahalo, aina ya maswali lakini pia platform ambayo ni friendly and neutral to all. Sasa kwa kuwa uana demokrasia wa watanzania umegubikwa na ukada na mambo mengine yasiyo na tija wala kushabihiana na utamaduni wa kidemokrasia tupo tayari kuhalalisha ukiukwaji wa maadili na huku tunapeperusha bendera ya maadili na uwajibikaji. CCM kuanda mdahalo wa kuwahusishawagombea wa vyama vyote its unethical and only those who believe in siasa za ujanjaujanja ndio wanaweza kuamini katika hilo.

What they can do ni CCM kuandaa mjadala wao kama ambavyo CHADEMA walivyofanya kupitia kwa kampuni ya Ansbert Ngurumo na Juvinales Ngowi .....lakini sio mdahalo

Ndugu zangu huu ukombozi wa kufumbia macho na kukumbatia siasa hovyohovyo, longolongo na ujanjaujanja utatukea puani kwani kama ambavyo hiztoria inavyonyesha hata kwa JK mwenyewe, ukishaanza kudharau ama kukiuka misingi kwa maslahi ya sasa uwe tayari misingi hiyo kukuvunja wewe katika maslahi ya muda mrefu.....

Meza wembe tuna koleo na Dar udongo ni kichanga!!!!!
 
Back
Top Bottom