mdahalo movenpick:mh Tundu Lisu akinifurahisha,upinzani Zanzibar umekufa!

boybsema

Senior Member
Oct 28, 2010
124
14
mh Tundu Lisu,amenifurahisha sana alipotamka waziwazi mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar iliyoweka serikali ya umoja wa kitaifa,imeuwa upinzani kwa kwa CUF kuunda serikali pamoja na mabwana zao CHAMA CHA MAGAMBA.
Mhh.mnyaa anabisha hili,
wadau nawasilisha
 
Mh Tundu Lisu kachafua hali ya hewa pale aliposema, ikiwezekana iundwe serikali tatu, kama wazanzibar na watanganyika watapiga kura ya maoni kukubali mfumo wa serikali tatu, na si mbili kama ilivyo sasa!
cUF wamecharuka kama mbogo, hadi pale naibu katibu mkuu Mtatiro alipowatuliza wafuasi wake! mh Mnyaa nae kakubaliana na Tundu Lisu aliposema ilikuwa ni sera yao tangu 1992! Na hajui enzi hizo PIPOZ POWER walikuwa wapi!
 
Tundu Lisu, kweli ni mpambanaji, katoa mada hadi cuf ccmB wakaanzisha fujo! kawamaliza kuwa cuf hawawezi kupinga mswada kwani wamwshafunga ndoa na ccm!

MDAHALO UPO STAR TV-MovenPick.
 
hawezi kujiuzulu kwa sababu kila mbunge lazima awe kwenye kamati za bunge penda usipende! Na kuwa kwenye kamati ndo unajua uozo wa nchi
 
Kwa mtazamo wangu kweli kama tusipoweka kando itikadi ya vyama vyetu hili zoezi la katiba litaenda vibaya haijapata kutokea,, Maana naona chadema wanaonyesha wazi kbs kuwa wana msimamo wa kichama hii ni hatari sana. Wanasiasa wa namna hii tuwaogope kbs.
 
Back
Top Bottom