AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,502
- 180
Dakta jei kei atafanya mdahalo jumapili ijayo akitoka kupiga kura chalinzeeeeeeeeeeee anakuja moja kwa moja bamaga tbc wani kwa ajili ya mdahalo,duuuuu kweli sisiem hamnazo tehe;tokea august anaogopa midahalo mpaka siku ya kuvot ayaaaaaa;;
wadau mnaonaje hiyo ratiba msomali aliyompangia mgombea wetu;;patamu hapo hope ataendelea na ahadism za kufa na kufaana.
Wadau mnaonaje hiyo ratiba ya msomali kanan
wadau mnaonaje hiyo ratiba msomali aliyompangia mgombea wetu;;patamu hapo hope ataendelea na ahadism za kufa na kufaana.
Wadau mnaonaje hiyo ratiba ya msomali kanan