Mdahalo: Je rais wa tanzania ana kazi gani kwa utumishi wa umma?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Raisi wetu amewasadia sana watanzania kiuchumi na kimichezo
na mengine mengi. Lakini kumekuwa na mnunguniko kuwa Raisi
wetu ameshidwa kuwasadia watanzania wa hali ya chini.

Wewe kama mwanaJF kwa maoni yako ni muhimu sana kwa ijenzi wa Taifa

Je rais wetu asidie wapi ili wananchi wapate unafuu?

Kumbuka maoni yako yateweza kusadia serikali kuwasadia wananchi wake

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom