Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

Unamjua Desmond Tutu,au umezaliwa juzi. Rev alikuwa anafujo sana wakati wa makaburu. Uchungaji sio lazima uwe mnyonge.

Au anamfahamu Rev. Jese Jackson wa Marekani au ndio wale wamezaliwa na kukuta pumpus zinatumika!
 
wapendwa wangu,heshima wakati mwingine inabidi uilazimshe tu,
siku moja ccm na wote waungao harakati zake watapiga saruti kwa M4C.
Ila nafurahi saana wakuza historia ya chadema na ukizingatia 2015 ndo mwisho wa ccm,
saana nawapongeza M4C team kwa kuwa na mawazo na mipango thabiti na hata kuto angaria wala sikia poroja za mabeberu wa ki tz,
MWISHO WA ENZI ZA CCM ZINAKUJA,POLISI AKILI ZAO ZITAGEUKA NA KUWAINAMIA WATAWALA WA M4C,
BIG UP CHADEMA NA WOTE WAUNGAO MKONO HARATI ZAO ZA UKOMBOZI WA KWELI
 
policeccm wapumbavu wanatumika kama kondom

acha kuwatuka wakati huishi kupiga hodi kuwaomba wakulinde. cha muhimu angalia je nihalali kufanya biashara eneo hilo then ukipata jibu ndo ujue wa kumlaumu si kuweka siasa mbele ka mlivyolishwa vya haramu.
 
Natamani saana kukutana na NAPE NAUYE,maana huwa namuona on TV nakusikiliza sera zake za kuagizwa,
Nape nenda shule usome kama wanaokutuma
 
kama mtu unajua ugumu wa maisha kwa kipindi hiki naamini kabisa utamuunga mkono mchungaji Msigwa anavyowatetea wanyonge.
 
Au anamfahamu Rev. Jese Jackson wa Marekani au ndio wale wamezaliwa na kukuta pumpus zinatumika!

Hongera saana kwa wazo lako pevu,
WENGI WANAJUA ETI UCHUNGAJI NIKUWA NA JIBU LA NDIYO-YES,
UCHUNGAJI NI UONGOZI TU,ILA UKWELI NA UWAZI VIKISINDIKIZWA NA MISIMAMO THABITI VITABAKIA PALEPALE
Hongera saana
 
Mkuu hili eneo wanalotaka machinga linaitwa mashine tatu n barabara ya kuingia stendi kuu ya iringa...machinga wanataka barabara hii ifungwe kila jumapili ili wao wafanye biashara zao kwa kutandika bidhaa chini...,je hili ni sahihi kwako?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ni sawa kwa makubaliano maalum hata pale kisutu soko la wahindi jioni huwa wanabadilisha matumizi.hata india wanahuo utaratibu.busara itawale wala si giliba
 
waliolaaniwa na mungu ni wengi sana na wasipotafutiwa hifadhi wataisumbua sana nchi hii vinginevyo gvt iwatafutie hifadhi mapema wawe mbali na jamii.
 
wapendwa wangu,heshima wakati mwingine inabidi uilazimshe tu,
siku moja ccm na wote waungao harakati zake watapiga saruti kwa M4C.
Ila nafurahi saana wakuza historia ya chadema na ukizingatia 2015 ndo mwisho wa ccm,
saana nawapongeza M4C team kwa kuwa na mawazo na mipango thabiti na hata kuto angaria wala sikia poroja za mabeberu wa ki tz,
MWISHO WA ENZI ZA CCM ZINAKUJA,POLISI AKILI ZAO ZITAGEUKA NA KUWAINAMIA WATAWALA WA M4C,
BIG UP CHADEMA NA WOTE WAUNGAO MKONO HARATI ZAO ZA UKOMBOZI WA KWELI

fikra zingine hata tbs hazina sijui huwa zinatoka wapi,mtu kama msigwa na vurugu anazofanya unadhani ni njia sahihi ya kuleta mabadiliko hata kama yanahitajika.
 
Hongera sana kamanda Peter Msigwa! Maana kwa kukamatwa kwa ajili ya kusema ukweli na kuwapigania wananchi ni faraja kubwa kuliko kutokukamatwa kwasababu ya kukumbatia na udhalimu na kuuficha ukweli. Aluta continua mapambano yanaendelea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: mob
Back
Top Bottom