Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,519
- 30,218
Zipo taratibu za kikanisa hadi kumthibitisha,mtumishi wa Mungu,hadi kupewa nafasi hiyo ya uchungaji.msigwa alipewa na nani uchungaji nisaidieni mnaojua kwa sababu mambo anayofanya ni ya ajabu sana.
Sasa wewe ni nani hadi udispute uchungaji wa Msigwa?!
Au wewe upo kundi moja na yule mbunge wa magamba,aliyetamka bungeni,kuwa Msigwa ni mchungaji wa nguruwe?!