Mchungaji Msigwa Unatufurahisha sana Wananchi wa Iringa Municipal

Mmetumwa nyie. Wakati watu tunatafakari haya maumivu ya kumchagua Msigwa tutayavumilia hadi lini, nyie mnatuletea stori zisizoeleweka. Ni msanii tu hana jipya.

inaonekana ulikua mfanyakazi wa yule mama kwenye maduka yake ya mbolea, pole tafuta kazi nyingine R.I.P MM
 
Mmetumwa nyie. Wakati watu tunatafakari haya maumivu ya kumchagua Msigwa tutayavumilia hadi lini, nyie mnatuletea stori zisizoeleweka. Ni msanii tu hana jipya.

Lazima mpate maumivu maana yule Mama baada ya matokeo alienda kulazwa Hospitali. poleni sana mlijua mtaendelea kuwanyonya wananchi wa Iringa milele?
 
Ila kuna watu Iringa hawampendi huyu jamaa bse hagawi ela kama alivyokuwa anagawa mbunge aliepita.
Msigwa huwa anawajibu nkikupa ela leo utaila itaisha njooni kama kikundi ntawawezesha ata kupata kamkopo ili nanyi mtoke sio kupewa chenji daily unaomba.
Naona bit by bit watu watamwelewa anachomaanisha
 
waulize magamba kama wanawajibu huo wewe, wao nikutetea chama tuu hata katika ujinga.

Kwa mbunge aliyeingia bungeni kwa kuhonga pesa nyingi unategemea nini?
Amekwenda pale kuwakilisha mawazo ya waliomchagua (pesa zake alizohonga).
Hii ndo hali iliyopo kwa magamba.

Big up Rev. Msigwa
 
Mmetumwa nyie. Wakati watu tunatafakari haya maumivu ya kumchagua Msigwa tutayavumilia hadi lini, nyie mnatuletea stori zisizoeleweka. Ni msanii tu hana jipya.
Maumivu ya kuporwa haki yenu mliyojipa ya kufisadi? Wewe wa wapi Bwana? Msigwa ni jembe sana. Ni mbunge imara kuliko wabunge wote wa Iringa akiwemo Madam Supika. Viva Rev.Msigwa. Natamani 2015 na Rev Fr Masanilo naye awe mjengoni nadhani kutachimbika ukizingatia na Malaria Sugu naye atakuwa ndani ya nyuma kupitia Jimbo la Chalinze
 
Msigwa ni MWAMBA ndani ya IRINGA kweli ni jembe,IRINGA huwaambii kitu msigwa,jamaa kichwa mbaya mpaka sasa tangia kaingia kajenga barabara mbili Iringa mjini,nadhani mliona hata kwenye mandamano ya IRINGA yalivyofunika mbaya.VIVA MSIGWA,VIVA CHADEMA
 
Nakumbuka akiwa Tlp alikuja pale klerruu chuo,aliteremsha shule kweli napenda anavyo"coti" semi mbalimbali na kuziunganisha na uzembe wa ccm!
 
Big up MSIGWA watu wa IRINGA tunakukubari mbaya,siyo kama yule mama ANA MBEGA wa CCM baada ya kumshinda ktk uchaguzi alipata presha na kulazwa hospital ya mkoa wa IRINGA baada ya kupoteza BILLION 1 zilizotoka kwa wakereketwa kama kina ASSASI na zingine za kwake kuhonga wananchi ambao mwisho wa siku hawakumpigia kura na kumpa MSIGWA anayesimamia ukweli.
 
ukipanda ubuyu usitegemee kuvuna mchicha ccm ni mbuyu unaohitajika kungolewa maana mpaka utoe matunda boa ni mika 50 kama kawaida yao, walitupiwa viatu na leo wanatuuliza mnavaa namba ngapi, chadema oyeeeeee
 
nilfurahia prsentation yake jana wakati anahangia hotuba ya wizara ya utumishi juu ya matumizi mabaya ya usalama wa taifa kuwa wameacha kazi yao ya msingi ya kupigania kulinda uchumi wa taifa usiporwe na manyang'au wachache (wanasiasa),badaala yake wamelkta kufuatila upinzani kuwa wanaana maandamano api na anasema nini.
 
Sijutii kura yangu hata kama matatizo yanazidi. Imani ni kwamba ukombozi umekaribia.
 
Hongera sana Msigwal.Hongera Chadema , hongeri sana wananchi wa Iringa katika jimbo hilola Msigwa mlifanya maamuzi magumu na sasa mnaona wenyewe.
 
I believe in credit when credit is due. He and the other CHADEMA MPs are so awesome, very awesome. They deserved it. Keep it up guys. God bless you.
 
Msigwa kichwa.Ingawa magamba wataanza fitna juu yake.Jana ameichanachana usalama wa magamba hadi sangoma majimarefu akaingilia kati.Big up mchungaji.
 
Mmetumwa nyie. Wakati watu tunatafakari haya maumivu ya kumchagua Msigwa tutayavumilia hadi lini, nyie mnatuletea stori zisizoeleweka. Ni msanii tu hana jipya.
We ndio umetumwa ***** mkubwa wewe, kama unaona thread haikuhusu tuache sisi tuojua mambo tuichangie. Sio lazima uchangie kama inakuuma unaisoma tu kisha unaipotezea. Kama unamaumivu basi wewe ni gamba coz nakumbuka mlipigwa mawe sana kipindi cha kampeni na mtoto wa gamba kuu, Lizimoja.
 
CHADEMA imeleta watu wenye thamani kubwa bungeni ccm imeleta vilaza na wadokozi hadi kwenye mahoteli
hah hah haaaah mbunge wa CCM ametia aibu baada ya kukutwa kwenye pochi yake kuna vile visabuni vya hotel na gesti vinaitwa EVA....dAH
 
Back
Top Bottom