Mchungaji Msigwa kugombea urais 2025 kwa tiketi ya Chadema!

Hahaha, jamaa tangu kapoteza ubunge kawa kama kichaa, sikujua kama ubunge ni mtamu hivyo
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya ziwa Nyasa mchungaji Msigwa ametangaza nia ya kugombea urais wa JMT mwaka 2025 kwa tiketi ya chama chake

Mungu ni mwema wakati wote!
Akawaulize kina zitto, Sumaye,au amejiandaa kuhamia chama kingine?
Au amepata uhakika dikiteta hachomoki hi kesi.
 
Sio kugombea urais, sema kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema, mpaka akipitishwa na vikao vya chama ndio atagombea.
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya ziwa Nyasa mchungaji Msigwa ametangaza nia ya kugombea urais wa JMT mwaka 2025 kwa tiketi ya chama chake

Mungu ni mwema wakati wote!
Huyu hana sifa maana ni la nne la mkoroni Kama mbowe

USSR
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya ziwa Nyasa mchungaji Msigwa ametangaza nia ya kugombea urais wa JMT mwaka 2025 kwa tiketi ya chama chake

Mungu ni mwema wakati wote!
... hata kama CCM wakiweka jiwe kikwelikweli, na hata upepo uvumeje, kwa kumuweka Msigwa CHADEMA itakuwa imepoteza sio tu uchaguzi bali hata muelekeo wake!
NB: NAOMBA TUWEKE HII KAMA KUMBUKUMBU!
 
Back
Top Bottom