Mchungaji Matsahi: Wakristo tuko karibu zaidi na Wayahudi kuliko Dini nyingine kwa sababu ya Isaka na Yakobo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,168
142,298
Akihubiri katika Ibada ya Jumapili pale KKKT Kimara mchungaji Matsahi amesema Wakristo wako karibu zaidi na Wayahudi kuliko Dini nyingine kwa sababu Yesu alizaliwa katika kabila la Yuda Mwana wa Yakobo Mwana wa Isaka

Kwahiyo Ukombozi wetu umepitia kwa Yakobo aitwaye Israel, amesisitiza

Mlale Unono 😀😀
 
Kwahiyo ile ahadi ya mabikira 72 haipo!.
 
Yesu alisema ndugu zake ni wale wanaojifunza na kumsikiliza Baba yake na sio wale wadogo wakiozaliwa na maria na yosefu na hao wayahudi wa kuunga
 
Akihubiri katika Ibada ya Jumapili pale KKKT Kimara mchungaji Matsahi amesema Wakristo wako karibu zaidi na Wayahudi kuliko Dini nyingine kwa sababu Yesu alizaliwa katika kabila la Yuda Mwana wa Yakobo Mwana wa Isaka

Kwahiyo Ukombozi wetu umepitia kwa Yakobo aitwaye Israel, amesisitiza

Mlale Unono 😀😀
Mungu ambariki kwasababu walau anawakilisha wengi wetu tunaoliamini hilo.
 
Akihubiri katika Ibada ya Jumapili pale KKKT Kimara mchungaji Matsahi amesema Wakristo wako karibu zaidi na Wayahudi kuliko Dini nyingine kwa sababu Yesu alizaliwa katika kabila la Yuda Mwana wa Yakobo Mwana wa Isaka

Kwahiyo Ukombozi wetu umepitia kwa Yakobo aitwaye Israel, amesisitiza

Mlale Unono 😀😀

Mbona umepunguza maneno aliyosema kwamba hata Waislam wapo karibu na Wayahudi kuliko Wakristo?
 
Yaani mwarabu ambaye ji Damu moja na watahufi yupo mbali kuliko mmatumbi wa kibantu.
Hivi waaafrika tuna akili kweli?
Korea kusini na kaskazini hawapatani basi sio ndugu ila mzungu wa USA ndio ndugu na korea kusini.
 
Waafrica tumelogwa sana Yaaani mnashindwa kukuza Imani zanu za makabila mko bize na Imani mina na desturi za wayahudi na waarabu
 
Yaani mwarabu ambaye ji Damu moja na watahufi yupo mbali kuliko mmatumbi wa kibantu.
Hivi waaafrika tuna akili kweli?
Korea kusini na kaskazini hawapatani basi sio ndugu ila mzungu wa USA ndio ndugu na korea kusini.
Waelekeze hawa wandengereko wa kujipendekeza kil siku wanapigwa makofi na kutemewa mate na Wayahudi lakini hawakomi
 
Akihubiri katika Ibada ya Jumapili pale KKKT Kimara mchungaji Matsahi amesema Wakristo wako karibu zaidi na Wayahudi kuliko Dini nyingine kwa sababu Yesu alizaliwa katika kabila la Yuda Mwana wa Yakobo Mwana wa Isaka

Kwahiyo Ukombozi wetu umepitia kwa Yakobo aitwaye Israel, amesisitiza

Mlale Unono
Dini ndo maana kila mtu aliyejipanga kwa karata zake anaweza kusema ya kwake ili mradi anakusanya sadaka na maisha yanaenda tofauti nawanasayansi.

Mwanasayansi anafanya kitu kwa facts ndo maana anafanya experiments na kupata results then an implement. Akikosea anafuatilia mpaka akifanikiwa kupata +ve result, ana implement na inakuwa mafanikio na jamii inafaidika na hizo findings na experiments. Mfano yule aliyegundua mobile phone angeshindwa kufanya experiments zisingeweza kufanya kazi.

Sasa mhubiri yeye ni kuswaga tu bora liende ndo maana huwa hakuna kujiridhisha (proves) kwa yale anayofundisha jila mtu anaongea ya kwake kwa kutuamisha. Sana sana anaongeza vitisho in case ukitaka kudadisi.

Kwahiyo tujipange kupokea kile ambacho hata mhubiri mwenyewe hawezi kukithibitisha. (Prove beyond reasonable doubts).
 
Back
Top Bottom