johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,969
- 146,180
Mchungaji Matsahi amesema Neno " fala" siyo Tusi bali linatokana na asili ( kabila) la Waarabu waliokuwa wakiishi eneo alilopewa Ibrahim na Mungu
Falah ni status ya Waarabu ambao hawakupenda kufanya Kazi na kushughulisha sana akili Zao zaidi ya kukaa na kutegemea kile walichonacho tu, amesema mchungaji
Waarabu hawa wa asili ya Mafala waliuza Mashamba yao yote kwa Ibrahim na uzao wake ambao walikuwa ni wachapa Kazi kweli kweli
Nawatakia Dominica Njema 😄