Mchungaji Mastahi: Kanisa la KKKT Kimara tumenunua kaburi la bibi Mzungu kwa Tsh 40 million na tumeshalihamisha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema Kanisa lake kimefanya maendeleo makubwa ikiwemo kununua Ardhi kwa faida ya Kanisa.

Mchungaji Mastahi amesema wamenunua kaburi la bibi Mzungu kwa Tsh 40 million lililokuwa eneo la Kanisa pembeni ya hospital na kulihamisha kwa sababu huwezi kuweka hospital pembeni ya kaburi.

Pia Kanisa limenunua eneo lililotumiwa kama Bar na Danguro jirani na Kanisa.

Hizo ni sehemu ya Baraka itokanayo na Matoleo ya Waumini wa KKKT Kimara.

Nawatakia Dominica njema!
 
Malasusa hebu tuhamushie huyu mtu.
Ukienda pale hospitali ya Dk Kairuki mikocheni ile ukiingia tu kuna kaburi la Dk Kairuki.

Mchungaji gani unaogopa kifo.
Wewe ni mpigaji tu,ulituchangisha sadaka miaka ya nyuma tukanunua hifadhi ya barabara kwa mamilioni.
Muda si muda maeneo yakapigwa X

Nina wasiwasi unatumia nguvu za giza kukamata akili za watu

Huyu amegeuza KKKT kuwa kanisa la kipentekoste,na ni bepari anayemiliki kampuni ya ujenzi ambayo ndio inapewa tenda za kujenga hizo project

Hatukatai miradi imejengwa kipindi chako ila utupishe ukajenge na mbagala au gongo la mboto
 
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema Kanisa lake kimefanya maendeleo makubwa ikiwemo kununua Ardhi kwa faida ya Kanisa

Mchungaji Mastahi amesema wamenunua kaburi la bibi Mzungu kwa Tsh 40 million lililokuwa eneo la Kanisa pembeni ya hospital na kulihamisha kwa sababu huwezi kuweka hospital pembeni ya kaburi

Pia Kanisa limenunua eneo lililotumiwa kama Bar na Danguro jirani na Kanisa

Hizo ni sehemu ya Baraka itokanayo na Matoleo ya Waumini wa KKKT Kimara

Nawatakia Dominica njema!
Ni jambo la heri kuheshimu kaburi na kuondoa shughuli za Ibilisi maeneo ya kanisa.
 
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema Kanisa lake kimefanya maendeleo makubwa ikiwemo kununua Ardhi kwa faida ya Kanisa

Mchungaji Mastahi amesema wamenunua kaburi la bibi Mzungu kwa Tsh 40 million lililokuwa eneo la Kanisa pembeni ya hospital na kulihamisha kwa sababu huwezi kuweka hospital pembeni ya kaburi

Pia Kanisa limenunua eneo lililotumiwa kama Bar na Danguro jirani na Kanisa

Hizo ni sehemu ya Baraka itokanayo na Matoleo ya Waumini wa KKKT Kimara

Nawatakia Dominica njema!
Ila Mastai barna! Lile kanisa kanisa kalifanya kama lake yani
 
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema Kanisa lake kimefanya maendeleo makubwa ikiwemo kununua Ardhi kwa faida ya Kanisa

Mchungaji Mastahi amesema wamenunua kaburi la bibi Mzungu kwa Tsh 40 million lililokuwa eneo la Kanisa pembeni ya hospital na kulihamisha kwa sababu huwezi kuweka hospital pembeni ya kaburi

Pia Kanisa limenunua eneo lililotumiwa kama Bar na Danguro jirani na Kanisa

Hizo ni sehemu ya Baraka itokanayo na Matoleo ya Waumini wa KKKT Kimara

Nawatakia Dominica njema!
Leo ndio umelipatia jina kiasi.
Kila andishi lako ukiandika Mch Matsai, leo umeandika Mch Mastahi, na hujui kuwa jina sahihi ni Mch Willy Mastai.
Nawe ni mwandishi za habari nyingi za serikali humu mtandaoni.
Kazi nzuri, endelea na uchunguzi wako.
 
Sadaka zangu siku hizi bora nile makange ugali.

Mengineyo Mungu ananifahamu kabla sijazaliwa. So anafahamu mimi wa motoni au mbinguni ya nini kujitesa
 
Back
Top Bottom