Mchina bwana! Ona huyu dada alivyoichakachua ekibinda nkoi

Ishhhhh! Kwa namna hii, Kasheni basi maana hamjui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adamu
 
hii karaha sasa. hakuna amusemenet yoyote. mtu mpaka mtaani unaona noma kutembea nae. kila mtu anajua ulichokifuata kwake. na hata yeye anjua ulichokifuata kwake. khaa!
 
hii karaha sasa. hakuna amusemenet yoyote. mtu mpaka mtaani unaona noma kutembea nae. kila mtu anajua ulichokifuata kwake. na hata yeye anjua ulichokifuata kwake. khaa!

Kwani kuna ubaya gani watu wakijua ulichofuata!
 
kwi kwi kwi! hapo kinachowafurahisha nini? hiyo wowowo? Mungu awatie nguvu wandugu. Majaribu yasiwafike.
 
uyo kaweka mafono yaani masponji wewe, hakuna mtu wa aina hiyo duniani. ona kamwili kake, afu ona kiuno..yaani hapo kuna makalio badia yale ya sponji wanayoweka sana dada zetu hapa bongo, ndo kayavaa kama chupi....mjini shule bwana.
 
hii karaha sasa. hakuna amusemenet yoyote. mtu mpaka mtaani unaona noma kutembea nae. kila mtu anajua ulichokifuata kwake. na hata yeye anjua ulichokifuata kwake. khaa!

sio siri tena.....
 
View attachment 29130
Shughuli ya mchina hiyo

Naamini wengi wetu tumekwisha angalia mpira wa miguu na kumwona goalkeeper anavyovalia/ vaa ile kaptula au track suit - uwa imevimba kwenye hips - ile ni sponge ili asichubuke. Basi nasikia kuna nguo za kike zinashonwa hivyo kwa kuongeza makalio au hips; avue hapo huyo uone? Ukiangalia vizuri bottom yake haiendaji na miguu yake inapoungana na bottom - mapaja. Pia yawezekana hiyo ni shughuli ya photoshop!
 
mawazo na ufahamu wa mtanzania bado un safari ndefu sana, siku hizi kila kitu ni mchina, simaanishi kuwakashifu ila sio siri tupo nyuma
 
Kengine haka hapa

MITIHANIMINGINEDUUH.jpg
 
Back
Top Bottom